Haya ya madaktari na vifo vya wanyonge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ya madaktari na vifo vya wanyonge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SYENDEKE, Jul 1, 2012.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  [h=6]Kama Haya Anayoongea Jakaya Ni Kweli........... Basi Nadeclare Interest Kuwa Madaktari Wanatuua Bure Sisi Wanyonge. Jamani Watumishi Wa Umma Kama Walimu Hali ndo Mbaya Kabisa Bt Tunaendelea Kuwaandaa Madaktari Watarajiwa....... Ingawa Wanasiasa Ndiyo Chanzo Cha Haya Yote Iweje Wabunge Walipwe Mamilioni Kwa Kubwabwaja Maneno Tu.
  MUNGU ATUSAIDIE TUNAKOPELEKWA NA WANASIASA HATUTAFIKA
  [/h]maneno ya JK source hotuba yake 30/ june 2012
  1.Posho ya kuitwa kazini (on call allowance) iwe asilimia 10 ya mshahara.
  2.Posho ya kufanya kazi katika mazingira hatarishi (Risk allowance) iwe asilimia 30 ya mshahara.
  3.Madaktari wapatiwe nyumba grade A au posho ya makazi ambayo iwe asilimia 30 ya mshahara.
  4.Posho ya kufanya kazi katika mazingira magumu iwe asilimia 40 ya mshahara.
  5.Madaktari walipwe posho ya usafiri ya asilimia 10 ya mshahara au wakopeshwe magari.
  6.Madaktari wanaoanza kazi walipwe mshahara wa shilingi 3,500,00/= kwa mwezi.
  7.Madaktari wapatiwe Green Card za Bima ya afya.
  8.Hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya Watendaji Wakuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
  9.Viongozi wa Kisiasa kulazimisha kupewa rufaa nje.
  10.Madaktari waliofukuzwa warudishwe kazini.
  11.Huduma za afya ziboreshwe nchini.
  [FONT=&quot]12.Posho ya uchunguzi wa maiti iongezwe[/FONT]
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  una akili kama za JK ndo maana unakuwa na mawazo mepesi kiasi hiki
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Sielewi hapo kwenye red
   
 4. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Huo ndo ukweli wenyewe japo madaktari wanaogoma wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa madai yao ni kuboreshewa mazingira ya kazi. Kiukweli wanataka MSHAHARA MKUBWA NA HIZO POSHO.
   
 5. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Hatupimani akili hapa, jibu hoja.......kumbaff
   
 6. luck

  luck JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  hiyo mbinu inatumiwa sana na wanachuo wanapodai bum,wanaorodhesha msururu wa madai 10-15, kwa kuwapoteza watu maboya dau la mwisho ndo huwa la bum.

  cha ajabu wakipata bum tu hakuna anayerudi kulalamikia yale madai mengine 14
   
 7. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  naomba usipime uelewa wa mtu jenga hoja ya madai ya hawa madaktari na msimamo wa serikali na je huu mgomo una maslahi gani kwa mtu wa hali ya chini. kweli hii serikali inamapungufu yake lakini kwa hili la madaktari wanalao jambo lao hao madk.
   
 8. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama kuna daktari humu jamvini ebu athibitishe kuwa aliyosema jk ni uongo hawakufanya makubaliano hayo kweli
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wale wanaharakati uchwara walikuwa wanajua kweli madai ya madaktari , au ndo siasa tuu?
   
 10. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jk leo ndo umekuja na id mpya karibu sn,. Ebu leta hizo bil300 mlizoficha majuu
   
 11. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndo nimeamini hawa wanaharakati huwa wanakurupuka na kutafuta umaarufu kma mambo yenyewe ndo haya
   
Loading...