Mtoto wa Mkulima, katugeuka!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Mkulima, katugeuka!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mangaline, Jun 30, 2012.

 1. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mh, Kumbuka ulipotoka, kumbuka shida na taabu tulizokuwa tunapata pamoja, kumbuka machungu ya huku nyuma ambapo, mlo tu wa siku ni shida, kumbuka gharama za kusomesha, kumbuka taabu za huduma ya afya, ambapo kupata tu vipimo duni vya kupima minyoo ni shida, achilia mbali utra sound, x ray nk, kumbuka, kumbuka, kumbuka.
  Mkuu, Kumbuka, Usitusahau, Leo tu, umepata nafasi, umepanda juu, unatusahau??????????????????,
  Daktari anaomba uboreshe maabara ili nasi wanyonge tupimwe, anauawa ????????????????????????? Mkuu, umepata nafasi, unatusaliti wanyonge??????????????????????, Mwanzo tulidhani kuteuliwa kwako kuwa Mh, basi wanyonge tumepona, Leo mategemeo yetu ni hayo ?????????? Ama kweli, "masikini akipata ......"

  OMBI LANGU:-
  Mtoto wa Mkulima, geuka, ukawe mkombozi wa wanyonge, usishiriki kumwaga damu isiyo na hatia, kama unalazimishwa kuwa sehemu ya maovu, basi JIUZULU NA MUNGU ATAKUBARIKI.
  "MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI ZANZIBARI, RIP TANZANIA"
   
 2. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wewe ni mwananmke kwa kilio chako hichi hata ukimpa mume wako maji na ukamwambia juice itabidi akuamini!
  na kama ni mwanaume naskitika
   
 3. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aksante kwa wazo lako!!!!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa alikuwa Ikulu tangu mwishoni mwa uongozi wa Marehemu Mwl J. Kambarage Nyerere.

  Unaambia anaijua Bara na Visiwani zaidi tunavyomjua.
  Ugonjwa huu wa kuona kama hajui atendalo ni kwamba tuilaani sana kwa yeyote aliyehusika na kifo ya Mwl na hasa laana yote ya Watanzania wanamlaani huyu mkapa fisadi aliyehusika kwa kifo ya Mwl kwa namna moja ama nyingine.

  Huyu mtoto wa mkulima amekumbana na mafisadi na walioukaribisha freemason na wakapalilia wote na akaja akamkuta jk naye akamfundisha mambo yalivyo na akaingia lain na ndiyo matokeo yenyewe haya.

  Ila kwa kuwa wao wana pesa hebu tuwape mtazamo kidogo tu na hizo pesa zao watajuta kuwa nayo.

  Tuone vilio ya Watanzania kama itaenda bure!
  Na hapo hl neno litasomeka vema!

  Pinda atajutia uPM aliyoipata.

  WAO WANA PESA NA SISI TUNA MUNGU,tutaanza na MUNGU na tutamaliza na MUNGU.
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ....."Nimesema liwalo na liwe,kilichobaki ni kuwalimboka wananchi wote,maana mnatumiza kichwa sie tule wap?".....
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Mie nilishamshtukia siku nyingi sana tangu alipotoa kauli kwamba, "Mafisadi wa EPA ni matajiri wakubwa sana nchini kama wakikamatwa basi nchi itawaka moto." Serikali nzima na majeshi yake inawaogopa mafisadi ambao hawafikii hata 100!!! Eti nchi itawaka moto!!!! Eti mtoto wa mkulima!!:rant:...yuko wapi nyumba kubwa atoe msonyo mrefu
   
 7. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wanakuumizeni vichwa kwani watz wana vichwa nao?! Au wana shingo tu. Kichwa kisichoweza kubuni kitu chochote is an empty skull.
   
 8. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,321
  Likes Received: 787
  Trophy Points: 280
  Umefika wakati wa kuchukua maamuzi magumu,hivyo hajageukwa mtu hapa.
   
 9. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,836
  Likes Received: 4,201
  Trophy Points: 280
  Mkuu mangaline, Mzee wa kupindapinda, akiisoma post yako lazima alie km kawaida yake.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nyie mnajuwa tulipotoka au mna payuka tu humu?
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  leo yupo mwanza, hana jipyaa
   
 12. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  na wewe ni mmoja wa wale kunguru, waliotumwa wakakuta mizoga wakasahau kurudi????????
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  mhh mtu anaishi masaki ufukweni mwa coco beach bado tunamuita mtoto wa mkulima?
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nilikuwepo, nnajuwa nilipokuwa nashindwa hata kupata sukari wala unga wala kandambili. Tanzania hii hii. Mpaka kuwa na baiskeli ilikuwa ni anasa Tanzania hii hii, kwenda Bukoba au Mwanza toka ilikuwa unakwenda na kufika kupitia Tanzania (tulipopata Uhuru), mpaka ikafikia uende Kenya ndio ufike huko baada Uhuru. Kikwete leo hii ametuwezesha kuondoka asubuhi na kufika Mwanza jioni hiyo hiyo tena ni kwa barabara na bila kupita Kenya. Au hilo hamjui?
   
 15. M

  Museven JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nakugongea "Like" Mkuu!
   
 16. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Huyo ni fisadi kama wenzake,eti mtoto wa mkulima, mtoto wa mkulima my butt!
   
 17. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwambie Asante, iwapo hujui kama hiyo ni sehemu ya kodi yako, na ni madogo tu kati ya mengi aliyopaswa kufanya. Kama watu wangekuwa wanaabudu wengine hivyo, Libya Gadafi angeishi milele.
   
 18. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Acheni kujidanganya. Mtu asiye na MISSION wala VISION hawezi kuwakomboa wengine!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Kasema majuzi juwa yeye si mcha mungu
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,812
  Trophy Points: 280
  Yeye alisema liwalo na liwe
   
Loading...