Hivi JamiiForums tunge-expose real ID zetu tungeondoka wangapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi JamiiForums tunge-expose real ID zetu tungeondoka wangapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SubiriJibu, Jun 29, 2012.

 1. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,128
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Kinachotusadia ni kwamba hakuna anayenijua jina langu halisi na wengi siwajui.

  Hivi kila mmoja wetu angekuwa analazimika kuonekana ID yaani jina lake halisi na mahala unapokaa, hivi tungebaki salama kweli?

  Au yangekuwa ndiyo yaleyale ya kuitwa na polisi watatu halafu unatokomoea kusikojulikana na kesho yake unakutwa mtaroni kama ilivyotokea kwa Robert Ouko kule Kenya.
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kungekuwa hakuna tishio lolote sababu tungekuwa tunajadili kwa nidhamu,uoga na umakini mkubwa sana.
   
 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wangetumaliza walahi,serikali ya kidikteta huwa haipendi kuambiwa ukweli wala kusahihishwa,wangetumaliza
   
 4. denyol

  denyol Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ingepunguza pumba humu ndani na kuwaacha watu wajadili kwa kina juu ya kuleta ukombozi wa kweli wa nchi hii. Unadhani ikiwa unatakiwa kabisa upatikane itashindikana?
   
 5. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ama kweli tungepukutika kama nyasi humu unawachezea hawa
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,836
  Trophy Points: 280
  Mleta mada usinge kuwepo hadi leo
   
 7. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  nadhani bora nikiitwa silly tu, haya ya kuja kutafutana baadae sitaki kabisa..,anonymous
   
 8. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mimi napingana nanyi.Ukijiamini na kama unaandika mambo ambayo umeyafanyia uchunguzi,au ambayo una uhakika huwezi kuogopa.Mimi naamini kuwa mtu ambaye hataki kujulikana na anaandika,anakua sio mkweli.Otherwise magazeti yangekosa waandishi.Tuache woga jitokezeni tuwe pamoja katika mapambano.
   
 9. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni kweli ndg zangu, hata sisi tunaotumia ID na majina yetu, hatujui ni lini tutaokotwa, tuombeeni sana, huwa ninajiuliza hawa jamaa ni lini wataichomoa roho yangu? kisha najipa moyo bado bado. Tunaelewa kuwa tunamshika simba sharubu wakati yy yu macho. OOh..God be with us.
   
 10. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  mbona mimi wote nawajua, ni raisi muno niwadokezee kidogo? hata wewe ulipo hapo kova anakujua
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  mmmh.....! tusingeokotwa maiti bali wapenda mambo ya ngono lolest wangekoma.
   
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Duh aisee wangetu ulimboka watu wengi tu humu ndani
   
 13. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Uchunguzi wa uhakika? Wengine ni wafanyakazi wa hii serikali tena ofisi nyeti... Tungechinjwa zamani au tusingesema kitu hapa kama kule facebook, chezea serikali dhaifu wewe?
   
 14. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  wangeHACK JF kujua location zetu na IP adress za laptop zetu.
   
 15. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  Tanzania ingeizidi Urusi kwa mauaji yasiyojulikana vyanzo vyake.
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Wasiwasi wenu tu!!!!! Siogopi kufa au kuumizwa kwa kusema lililo moyoni mwangu!!!!
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wananchi wanapenda serikali ya dicteta..

  Sasa kipigo kidogo uwoga tele
   
 18. t

  testa JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sidhani kama hata mimi leo ningekuwepo kwa jinsi ninavyomkaanga bosi wangu humu ndani
   
 19. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mnajidanga nyote nyie

  kuna mrundi mmoja,alikwenda ktk internet cafe na kutuma ujumbe kwa rafiki yake akimwelezea juu ya tishio la mlipuko utakaotokea huko shanghai,baada tu ya kuondoka na kuelekea chumbani,usiku ule alifuatwa hadi chumbani na sasa hajulikani alipo.

  utumie jina halisi,ama usitumie jina halisi ni vyema ukawa makini na kile ukitumacho,kwani IP unayoitumia ndiyo itakayokumaliza.
   
 20. Makirita Amani

  Makirita Amani JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,183
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  acheni woga, huna impact yoyote kwa harakati za kwenye keyboard, go out there and do something real ndio uanze kuhofia usalama wako. Kuficha id ni woga wa kijinga, kwa teknolojia hii watu wakitaka kukutafuta wanakupata tena haraka mno.
   
Loading...