manesi kuanza mgomo

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
624
kuna tetesi kuwa baada ya serikali kusema kuwa daktari asiyetaka kazi na aache,sasa ni zamu ya manesi.hii inatokana na ukweli kuwa madaktari walikuwa wakipigania maslahi ya watu wa afya kwa ujumla.
 
kuna tetesi kuwa baada ya serikali kusema kuwa daktari asiyetaka kazi na aache,sasa ni zamu ya manesi.hii inatokana na ukweli kuwa madaktari walikuwa wakipigania maslahi ya watu wa afya kwa ujumla.

Hydom vp Uda?
 
Last edited by a moderator:
Watakuwa wamechukua maamuzi sahihi sana kama manesi hao watagoma,maana tutake tusitake ukombozi si lelemama,ukombozi wa nchi hautengwi na kumwagika damu,wengine kuumia,wengine kuteseka lakini mwisho wa siku ukombozi unapatikana na watu wanaanza kuneemeka.

Hivyo msinishangae kila ninapounga mkono migomo,maana najua katika hali ya kawaida hakuna atakaetupatia huduma za kijamii ktk nchi hii,huduma za afya na haki za raia.maana ngonjela ni nyingi mno.
Hakika naichukia serikali ya CCM si kwa ushabiki wala chuki binafsi ni kwa sababu ya uongo na usanii hata ktk mambo ya msingi,mfano kuna barabara moja tangu enzi za chama kimoja miaka ya 1981 hadi leo kauli ya serikali bungeni ni tumeanza mchakato,tunafanya upembuzi yakinifu,usanifu umefanyika,contractor yuko site,lakini hadi ninapoandika hii post bado haijajengwa,ni barabara iko jimbo la kishapu,ukitoka kijiji cha Kishapu ukielekea kijiji cha Mwakipoya.hii iko mkoa wa shinyanga.sasa kwa majibu haya nitaipendaje serikali ya ccm?na ndio maana hata majibu ya kuboresha huduma za afya zitabaki hadithi kila siku,mara pesa haitoshi,mara nchi masikini,hivi umasikini wa hii nchi ni upi,na ni kwanini umasikini kwa kada zingine na kada zingine hatulioni hilo?hivi kuna haja gani kuongeza mishahara kwa wabunge?anasa za JK na mengine mnayajua waTZ.
 
Manesi wa degree au wale wa vyuo vyetu vileee?? Kama ni wale wa vidonda mtaani tunao wengi sana tu.
Halafu wanagoma kitu gani sasa wakati wenzao wameambiwa milango ipo wazi na wanatakiwa kila la kheri wanapokwenda sasa na wenyewe kuonyesha mshikamano si waache kazi tu kama wenzao?
 
Back
Top Bottom