Hekari laki nane zauziwa wamarekani kampuni kutoka Ohio huko Lindi na Mtwara

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
Jamani naomba kujuzwa kama kuna yoyote anayejua hili swala la mkuu wa kaya kauwauzia wamarekani hekari laki nane huko Lindi na Mtwara. Kuna ukweli? Kuna rafiki yangu yuko huko tulikuwa tunaongea naye kwenye skpe sasa hivi akaniuliza kama nina habari kuhusu hili. Nikamwambia ngoja niulize JF
 
Mwambie akufafanulie zaidi, mimi niko Mtwara sasa hivi lakini sijapata mvumo wa hii stori. Heka laki nane zimeuzwa toka eneo gani la Mtwara au Lindi?
 
kama wanalima na kuzalisha kuna tatizo gani? kwani ikiwa hawalimi zinaleta faida gani kwa wananchi na nchi
 
Lete taarifa..isije ikawa na eneo langu.,limeingizwa
Vox populi,vox dei
 
kidumu chama cha mapinduzi
kidumu chama cha kijani na njano
ccm oyeeeeeeeeee
adumu Nnauye Jr
zidumu fikra za mwenyekiti...

Mkimaliza kuuza ardhi muwauze wananchi, angalau wakawe wafagizi huko marekani......

Ccm oyeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Kati ya masuala yanayoleta migogoro mikubwa na umwagaji damu duniani ni ardhi japokuwa ccm hakilioni hilo.Kama ni kweli mie basi ndo yale maagizo aliyopewa marekani last month.Hoja hapa ni kwamba wananchi wameshirikishwa kadri gani na mkataba umewekwa wazi? Hoja nyingine ni kwamba wamepewa kwa miaka mingapi isijekuwa 999. Mwisho tupate ukweli,endapo mali zingine zitagundulika kuwepo mfano,madini-serikali itakuwa na mamlaka 100% kwa kuwa wamarekani watapewa ardhi kwa ajili ya kilimo pekee? Hoja kama hizi ni za msingi kabla ya mkataba vinginevyo,always Magambalization!
 
Jamani naomba kujuzwa kama kuna yoyote anayejua hili swala la mkuu wa kaya kauwauzia wamarekani hekari laki nane huko Lindi na Mtwara. Kuna ukweli? Kuna rafiki yangu yuko huko tulikuwa tunaongea naye kwenye skpe sasa hivi akaniuliza kama nina habari kuhusu hili. Nikamwambia ngoja niulize JF

Halina ukweli.
 
Back
Top Bottom