Chupa ya Dawa ya mbu iliyokwisha ni hatari yaleta Madhana Lindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chupa ya Dawa ya mbu iliyokwisha ni hatari yaleta Madhana Lindi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by cement, Jul 1, 2012.

 1. cement

  cement JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii nimeiona kwenye taarifa ya habari jana usiku

  watoto wadogo walipokwenda kumwaga uchafu wa maganda ya miwa kwenye jalala wakati baadhi ya taka zingine zikiiungua ndipo ghafla kumbe chupa ya dawa ya mbu ilikuwepo pia ikalipuka na kuwalukia watoto hao wote wanne 4 na kuwababua usoni
  Zilifanyika juhudi za haraka kuwawahisha hospitali watoto hao kwani hali zao hazikuwa nzuri kiafya hasa maeneno ya usoni

  Wito
  Please vitu hivi ni hatari sana hasa inapochomwa jalalani usijue ikilupa inaweza kukutoa uhai nawakumbusha wazazi wote tuwe makini na taka za namna hii kwa watoto wetu!!
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  chupa nyingi za ku spray sio lazima iwe dawa ya mbu,zinaandikwa onyo na huwa zinawekwa alama fulani hivi. kwa issue kama hiyo kutokea sio ajabu.
   
 3. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,485
  Likes Received: 5,943
  Trophy Points: 280
  sure maam, zinakuwa na propellants ambazo zikipata mto pressure huwa juu na kulipuka kama gruneti, ndio maana chupa za pafume ni ngumu, pia betri zilizoisha nazo ni hatari sana kwenye moto
   
Loading...