Jana saa sita Usiku,
Sina hili wala lile nipo na ki-Baby walker(gari) ya bwana mdogo narudi Kijitonyama Kati Kati ya Daraja ikazima nikajivuta hadi mwisho wa Daraja ikazima kabisaaa...sasa jasho...
wanakamatakamata ovyo boda boda na kuwahoji leseni usajili wa piki piki na ulipiaji kodi!!!!
wanakula rushwa za ovyo ovyo mpaka inakuwa karaha!!
siku nimetoka na pikipiki nipo maeneo ya posta...
Moto mkali unawaka hivi sasa katika yadi ya malori makubwa eneo la sokota jirani na kituo cha mafuta cha Camel Oil kama unaelekea Serenget Breweries...hakuna fire& rescue wananchi wanahangaika...
Wadau nimetembelea site ya bunge na kukuta profile ya mwanasheria mkuu wa serikali jaji fredriki mwita werema kuwa ametokana na chama cha mapinduzi kupitia ex officio type of membership. Kwa...
Nashindwa kuelewa ktk haya maeneo ya starehe kwa mfano ktk mabaa, grocery, hotel nk. kupiga muziki kwa sauti kubwa na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wanaozunguka maeneo hayo. Wakati wa...
Kwa walioajiriwa chini ya ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa waliokuwa wametuma maombi ya uhamisho majibu yametoka leo.Tumia tovuti hii: www.pmoralg.go.tz Kama ka kimeo kako...
Hivi mnajiona sawa.Mpaka tv inayoendeshwa kwa kodi zetu tuilipie? Eti airtime ikiisha wanakata mpaka TBC1.Kwahiyo nayenyewe tuite chanel ya kulipia.Hii yenu ni TEKNOBANIA.Mnaboa
Nimetinga ndani ya Jiji la Mwanza a.k.a Rocky City, ila kuna jambo limenitisha sana!
hapa mwanza bwana jamaa wanatisha kwa "KUTEMA MATE" daaaaaaaaaah.. wanatema mate na m****i haooooooooo!
so...
Alikua anawaaga watoto wake bungen,c mwingne ni ANNA MAKINDA,baada ya kupitisha bajet ya ujenz.Amewasii wa2lie wasiwasumbue kaka na dada zao,yaan naibu na mwenye viti.Mpaka atakapo rudi.
Kutokana na kuvuma kwa tetesi, toka kwa mashirika ya ifadhi za jamii Nss na Ppf kutoa mafao ya wafanyakazi wa mashirika binafsi na makampuni, ambayo kwa sasa yatafanyika hadi mfanyakazi atakapo...
waumini wa mikocheni B assy of GOD mnajua k new palm tree resort ni Mchungaji G rwakatale? iko pale bagamoyo. au anatekeleza ile kauli ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu?
Kutokana na kuvuma kwa tetesi, toka kwa mashirika ya ifadhi za jamii Nss na Ppf kutoa mafao ya wafanyakazi wa mashirika binafsi na makampuni, ambayo kwa sasa yatafanyika hadi mfanyakazi atakapo...
Ni kuwa nimeshuhudia waandikaji wa NIDA hawaruhusiwi kugonga milango ya wakaazi wa maghorofani
huko Mjini kati a.k.a Posta. Wanachafanyiawa ni kuletewa photocopy za vijulisho kama vile
birth...