polisi waliopo kwa ulinzi wa raia,wamezidishiwa madaraka au???!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

polisi waliopo kwa ulinzi wa raia,wamezidishiwa madaraka au???!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rebel volcano, Jul 6, 2012.

 1. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanakamatakamata ovyo boda boda na kuwahoji leseni usajili wa piki piki na ulipiaji kodi!!!!
  wanakula rushwa za ovyo ovyo mpaka inakuwa karaha!!
  siku nimetoka na pikipiki nipo maeneo ya posta mara naskia kelele"simamaaaaaaaa"kugeuka askari wawili wameacha benki ambayo ndiyo sehemu yao ya ulinzi wanasogea nilipo,nikageuza nikawafuata,baada ya mahojiano niliwaambia kutovaa helment nikosa sasa andikeni faini,hapo waliingiza vidole mpaka kwenye viatu hawakupata karatasi za fine.......nikasepa bila kuwapa hata mia tano.....
  imekuwa karaha.
  swali ni kwamba kama polisi wa kawaida kazi yao ndio hiyo kwa sasa kuna maana gani kuwa na matrafiki(askari wa barabarani)???!!!
  askari wengi wanatumia madaraka yao kinyume na sheria!sijui kwa kuwa askari wengi kwa sasa ni vijana na kwa kuvaa kwao magwanda ya polisi wanaona wapo juu ya kila mtu??!!!
  kama unatukio lolote baina yako na maaskari liandike kwa kirefu tufaidike!
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mkuu hawa vijana wananjaa sana hasa hawa wageni wa kampuni hiyo mimi ninafikiri wanaamuatu kufanya haya mambo kwa ihari yao na si kwamba ni majukumu walio pangiwa wanaboa sana wanajifanya wakaguzi wa kila kitu wananyanyasa sana vijana wa bodaboda. Kwa upande wapili mi nafikiri wanacheza kibati huu ni mradi labda wanapeleka hesabu kwa wakuu wao.
   
 3. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kibwebwe
   
 4. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  nakuunga mkono hao jamaa ni kero kubwa. hata hasa wale wanaoyembea na pikipiki.
   
 5. F

  Focas Kamali Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na sisi raia tujaribu kufuata sheria na taratibu za nchi uone kama utahojiwa ovyo ovyo.
   
Loading...