Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Polisi mkoani Mbeya inamshikilia Joseph Mtawa, kwa tuhuma za kumbaka binti yake anayemlea mwenye umri wa miaka saba. Mtuhumiwa huyo mkazi wa kijiji cha Shigamba Wilaya ya Mbeya Vijijini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Watawachukua majambazi wanaowafahamu, watawatesa na kuwaambia wakubali kuwa ndio waliomteka daktari,watatangaza kwa mbwembwe na hata kuwafiksha kortini...lakini kama ilivyo hulka ya binadamu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
vita ya majimaji ni mojawapo ya ushahidi wa kihistoria unaotukumbusha upinzani ulioonyeshwa na watanganyika kupinga upolwaji wa mashamba na makazi yao kama kilosa leo hii.Tz completely...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
kwenye kipindi cha bunge waziri lukuvi alihamia upande wanaokaa kambi ya upinzani na kukaa jirani na Sugu, walijadiliana kwa muda mrefu na sehemu kubwa Lukuvi alitulizwa.... bila shaka topic...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
watu waliofika bandarini wakitaka kujua taarifa kuhusu ndugu zao waliokuwa safarini leo wameambulia patupu...MV seagric haina ofisi....jamani waTanzania hatujifunzi tu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwanza nitoe pole kwa waTz wenzangu kwa ajari ya meli iliyotokea kisiwani CHUMBE,Mungu awape moyo wasubira wote waliokutwa na ajali hii. najinadi kwa nguvu kusema Hongera JF kwa kuwa chombo cha...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Wana JF, Leo Jioni kutoka BUNGENI Speaker ANNA MAKINDA katika hitimisho lake akiwaambia wabunge kuwa wasipende sana kuwatajka watu wakati wakichangia hoja zao na akadai kuna mashitaka mengi sana...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Sabodo achangia harusi ya Mh Rais wa Tz 2015, fedha halali za kitanzania shilingi milioni 60. Mambo yameanza pamba moto. Source mtu wa karibu na Mh.
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Taarifa mbalimbali za Habari kupitia Vyombo tulivyonavyo Tanzania. Na Siku hizi angalau ITV huwa wanahabari za Maana kidogo na Star TV kwasasa lakini TBC ambayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dah...! Natumia fursa hii kusema kwa sauti kubwa mchana huu kuwa napenda chama changu IMARA CHADEMA...! Kwa wapenda madiliko hawatajuta ku support CHADEMA.......... hate t o lv t...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kujiuma uma jana naomba kumuuliza swali hili la miwsho tu; je kama suala hili liko mahakamani, wewe uliwezaje au ulipataje ujasiri wa kuitisha Press conference na kulizungumzia suala...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naishangaa sana hii Serikali ya Kikwete kwa kubomoa nyumba ya ibada na waziri husika kutamka kuwa japokuwa Hotel zimejengwa kwa kukiuka sheria hazitabomolewa kwa nini?? na ni za kina nani?wakati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar zenyu wana jf nakuombeni msaada wa haraka tafadhalini! Ninataka kuanza ujenzi wa nyumba ya kawaida self ya room 3 nina shilingi mil.5 tofali nitatumia za kuchoma! Nawasilisha...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Siku moja nilikuwa nasafiri kutoka Musoma Kuja Dar es salaam nikiwa na mtoto mdogo. Nilitegemea kuondoka saa kumi jioni cha ajabu masaa mawili kabla ya safari nikapigiwa simu eti niwahi Musoma...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Julius Dawson (23) ni jina ambalo linatajwa sana hivi sasa kwenye kila mazungumzo ya wapenda elimu hapa nchini. na hii inakuja kufuatia hatua ya kijana huyo kuandika mistari ya Bongo fleva...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unajua kuwa mabadiliko ya kweli yataletwa na mimi mwenyewe kwa kushirikiana na wewe je uko tayari kufanya mabadiliko kwa lengo la kuokoa Taifa na kizazi hiki na kijacho
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji anzisha Chama cha kijamii katika Kata yangu ambacho hakitakuwa na itikadi yoyote ya kisiasa, jinsia wala rangi ni kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo katika kata yetu. Tatizo nililonalo ni...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Hii ni barua amepewa mtu, anakua promoted kuwa ASSISTANT REGIONAL DIRECTOR, kilichonifanya niiweke hapa hii barua ni vitu vitatu. 1. huyu mtu alikua akifanya kazi na ana mshahara wa 450,000 kabla...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Hivi kova na jesh lao wanaigizaaaa au? Hii kama filam basi ni ya kiindi. Wanaleta masihar then wanakuja kuomb ushrikiano kwa raia. Kova arud studio akarekod upya
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kinga dhidi ya wizi wa vioo:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…