Mtoto abakwa na baba mlezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto abakwa na baba mlezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Jul 18, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Polisi mkoani Mbeya inamshikilia Joseph Mtawa, kwa tuhuma za kumbaka binti yake anayemlea mwenye umri wa miaka saba.

  Mtuhumiwa huyo mkazi wa kijiji cha Shigamba Wilaya ya Mbeya Vijijini, alimbaka binti yake wa kambo baada ya kumvizia mtoto huyo akiwa amelala sebuleni saa tano usiku .

  Alidaiwa kuwa alimtoa binti yake sebuleni na kumpeleka kwenye pagare na kumfanyia kitendo hicho.

  Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Diwani Athumani alisema mtuhumiwa huyo yupo rumande na atafikishwa mahakamani baada ya taratibu kukamilika.

  Ilielezwa kuwa tukio hilo liligunduliwa na mama wa mtoto huyo mwenye miaka 27 (jina linahifadhiwa) ambaye alipiga kelele za kuomba msaada kwa majirani waliomkamata na kumfikisha polisi.

  Kamanda Athumani alitoa wito kwa wananchi kuepuka vitendo vya udhalilishaji ambayo ni kinyume cha haki za binadamu na ustawi wa watoto.

  Mara nyingi matukio kama haya yamekuwa yakitokea majumbani na yamefanywa na watu walio karibu na watoto ama ndugu zao na yamekuwa yakihusishwa na ushirikina .
  CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Laana huyo.
   
 3. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,125
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  halaf unakuta zee zima linakatiiiika,mwehu huyo
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  hapa ni beyond laana na uchizi: inawezekana ni maagizo ya sangoma..............................................
   
 5. b

  bidada Senior Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmmh :eek2: makubwa!
   
Loading...