Tunaomba wa ajiri pamoja na waajiriwa kuweni kitu kimoja na kataeni hii mifuko ya jamii mpaka watakapo badilisha hii sheria ya kupewa pensheni ukiwa na umuri wa miaka 55 au 60!
Kwakuwa hii ni wizi...
Madaktari wa UK walipanga kugoma 21 June 2012. Na wale wa Tanzania waligoma tena around the same period of time. Hapa Tanzania mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari alifanyiwa unyama wa kupindukia...
I remember the cheese of my childhood,
and the bread that we cut with a knife,
when the children helped with the housework,
and the men went to work not the wife.
The cheese never needed an ice...
Norway imesimamia vizuri raslimali zake na kupelekea mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii, Je mikakati na mbinu ya usimamizi wa raslimali ya Norway inatufaa Tanzania? Soma zaidi hapa zingatia...
Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,kutoka Clouds FM Gerald Hando akitaka kufafanuliwa jambo kwa undani kuhusiana na mambo ya Freemasons na Sir Andy Chande.
Mstaafu wa Freemasons...
Ni baada ya TrA kuchukua jukumu la kukusanya kodi hiyo wakati wa kurenew m/vehicle licence unalipia na fire ili upate licence safi sanaaa kodi itakayopatikana kuimarisha huduma za zimamoto hadi...
Jamaa hapa bila hofu wanajenga pub chini ya nyaya na nyingine wamezishikiza kwa paa na Tanesco wapo na wanapita kunywa supu kwenye baa ya pembeni.Ikitokea shoti hapo makuti moto wa maana utawaka
Kuna mambo ya kupinga lakin sio kila jambo. Ninachokiona hapa ni kwamba unapinga tu hoja kwakuwa zinatoka kwa wapinzan lakini hauzipimi kwanza zinauzito kiasi gani. Imekuwa ni kasumba sasa...
Jana tar 22-07-2012 kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linaloongozwa na Askofu Zachary Kakobe limefungua rasmi tovuti zake kama njia mpya ya kueneza neno la Mungu. Sasa unaweza kupata taarifa...
Raisi kamteua huyu mtu kuwa msaidizi wake kwenye masuala ya lishe.....lakini huyu mtu ni mgonjwa na nina wasiwasi lishe ipi atakayokwenda kumshauri raisi......
Kuna vitu lazima tuviseme ili kulitendea haki taifa letu!Kwa sasa nchi yetu in wakati mgumu MNO kiuongozi!Hili lilijidhihirisha juzi baada ya meli ya kuzama na watu wengi kupoteza maisha!Maana...
Ndugu zanguni
Leo nilitoa mada kutafuta mawazo yenu hapa JF jinsi ya kuwa rais wa nchi na kuepuka kuitwa dhaif.
Nimegundua kuwa urais sio kazi ngumu kama udokta kwa sababu maamuzi mengi...
Natamka toka nafsini Mwangu!
Naichukia chama tawala mpaka natamani leo hii mwaka 2015 iwe ndiyo kesho asubuhi na nione jeuri yao ikogo wapi kwa hali tuliyonayo kwa sasa Tanzania yetu!
Nasema...
Hawa maswahiba bana, hawauzi tiketi dirishani. Wamepanga mawakala kuanzia posta mpya yaani wakikuona na kibegi utaandamana nao hadi kwenye gati. Na pale tiketi wanazo mkononi, tena zimeandikwa...
title says it all.fungukeni kitu muhimu kwenye dunia hii kwamba bila hicho kitu shida ingekuwepo..
I want to see what every one says to this off the top of their heads..
Karibu
wananchi wenzangu tusikubali kufanywa wajinga na hawa wanasiasa njaa. kuna maswali mengi ya kujiuliza
1. kama suala ni upepo na hali ya bahari kuwa mbaya, kwa nini iathirike meli ya skagit peke...