Je ulipanda pesa DECI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ulipanda pesa DECI?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jul 21, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nakumbuka huu upatu wa Taifa,na si lengo langu kuwakumbusha machungu bali nikiwa kat ya mpandaj mbegu ninauliza vp tutazpataje pesa zetu.
   
 2. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Cccm walizichkua kwene kampeni
   
 3. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Maswali megine bwana, Kwani hizo pesa ulipanda huku JF? ulipopanda ulishirikisha wana JF?

  Sehemu sahihi kuuliza hilo swali ni pale ulipopanda kwani wao watakuwa na majibu sahihi.
   
 4. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Huwezi kujua, pengine yupo mwana JF mwenzake ambaye alipanda mbegu DECI lakini zikakauka kwa ukame. Hivyo anaomba kama yupo amjuze. JF ina mambo mengi!
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Na miye nauliza kuna aliyepanda pesa NSSF? nadhani wapo wengi sana humu ndani. Jiandaeni kuangua kilio cha machozi yasiyokauka.
   
 6. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  da nlipanda mbegu,sikujua kuwa ukamwe unanyemelea,ila huwa najitaidi kusahau nashindwa,dah bwn alitwaa!!!!!!!!!!!!!1
   
 7. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  sa mkuu pesa zako ulipanda mbegu gani? dola,pound,euro au madafu? Hata hivyo jibu ni kuwa hutazipata tena kwani ulisahau kuzimwagia maji hivyo zimekauka.wajinga ndiyo...............
   
 8. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  DECI ilikuwa ufunuo toka kwa nani?
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wale wachungaji waliokusanyika pale SABASABA wanajua ulikuwa ufunuo kutoka wapi!!!!
   
 10. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  usinikumbushe machungu hadi leo nnazo risit
   
 11. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  forgive and forget
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Dah kuna mashikaji wangu alipanda akapata ml3!akaingiwa na tamaa ya kupata ml9 akaenda akazimwaga huko.........!!hakuona hata shimo alilopandia maana alilia!!Ila na mimi niingie nusu angepata hiyo 9 ningejitosa...yumkini nisingeruka huo mtego!!
   
 13. Kyenju

  Kyenju JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 4,573
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Upuuzi huo lini pesa zikapandwa, na kwenye udongo gani?
   
 14. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mi nadhani nssf ni deci pia, na nimepanda mihela yangu pia huko....
   
Loading...