Natangaza rasmi nia ya kugombea urahis 2015,... ! Kama lowassa anaweza basi na mimi pia nitaweza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza rasmi nia ya kugombea urahis 2015,... ! Kama lowassa anaweza basi na mimi pia nitaweza.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilisosi, Jul 23, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ndugu zanguni
  Leo nilitoa mada kutafuta mawazo yenu hapa JF jinsi ya kuwa rais wa nchi na kuepuka kuitwa dhaif.
  Nimegundua kuwa urais sio kazi ngumu kama udokta kwa sababu maamuzi mengi unategemea washauri. Hivyo basi na mimi nimeamua kugombea urais mwaka 2015 kupitia chama chochote kisicho na pesa na kinatafuta pedeshee kama mimi.
  Mimi nitagombea urais kwa sababu zifuatazo
  Siutaki muungano
  Sina kashfa kama alizonazo lowasa
  Nitamuomba Nape anipigie debe kwa sababu anakubalika sana na wakulima
  Nitaruhusu madili ya kueleweka yafanyike kama vile richmondi
  Hela nitazipata kutoka kwa mafisadi wenzangu kwa sababu tutapiga dili nyingi tu
  Mtu kama membe hatufai kwa sababu ni mshamba hajui madili kama ya richimondi
  Kikwete lazima atanipigia debe kwa sababu ni mshikaji wangu
  Watanzania hawatakumbuka mabaya niliyofanya mpaka nikajiuzuru bali watakumbuka jinsi nilivyo mnoko kazini

  NI HILO TU,
  sasa unakunja uso kwa nini, na wewe si ugombee??? wee VIPI WEWE??
   
 2. Collins

  Collins Senior Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  !ɹnqɐsɐɯ ɐ!ɯnʇnʞ ɐʍʞ ɐzɐʍɐun
   
 3. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ondoa porojo zako hapa jukwaa lengwa!
  Utaja ambulia maneno mengi ambayo haukutarajia kamwe maisha yako!
   
Loading...