Je, 'Dr. Ulimboka wa UK' yamemkuta ya wa Tanzania?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Madaktari wa UK walipanga kugoma 21 June 2012. Na wale wa Tanzania waligoma tena around the same period of time. Hapa Tanzania mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari alifanyiwa unyama wa kupindukia. Je, na yule mwenyekiti wa umoja wa madaktari wa UK alifanyiwa unyama? Kama hapana, je ni kwa sababu hakuna 'Mabwepande forest' huko UK? Je, tofauti mojawapo kati ya UK na Tanzania ni ili la ku-handle issue ya madaktari? Hivi waafrika wanavyolia kuonewa na ICC ni kweli kama mambo yenyewe ndio hivi?

Source: Doctors' union calls strike on 21 June | Society | guardian.co.uk, BBC News - Disruption to patients 'more limited than feared'#,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom