TANESCO hatari hii mnaileaje Dumila Moro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO hatari hii mnaileaje Dumila Moro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Jun 14, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jamaa hapa bila hofu wanajenga pub chini ya nyaya na nyingine wamezishikiza kwa paa na Tanesco wapo na wanapita kunywa supu kwenye baa ya pembeni.Ikitokea shoti hapo makuti moto wa maana utawaka IMG-20120614-00514.jpg
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Khaaaa duuuu
   
 3. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kazi yao ni kugawa umeme kipindi cha mgao na kupokea hongo za service line
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  cwaelewi hadi leo hawajavunja hiyo pub
   
Loading...