Haya nisemayo ni toka ndani ya NAFSI yangu mwenyewe!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Natamka toka nafsini Mwangu!

Naichukia chama tawala mpaka natamani leo hii mwaka 2015 iwe ndiyo kesho asubuhi na nione jeuri yao ikogo wapi kwa hali tuliyonayo kwa sasa Tanzania yetu!

Nasema tena naichukia ccm mpk na kesho naichukia!

Ni hayo tu wanaJF wenzangu!
Jioni Njema!
 
Mpende jirani na adui yako alisema Mwanafasafa mmoja miaka kama 2000 iliyopita.
 
Mkuu CCM ni UKIMWI, KIPINDUPINDU, GONO yaani i hate CCM jamani ptuuuuuuuuuuuu
 
Yaani mm ndo sisemi juzi nilikuwa natoka pangani kuja Ta town kuna mama alivaa kilemba cha ccm akaomba lift nikamnyima kwani nawachukia,siwapendi na natamani kuwachoma moto watu wa njano na kijani ccm siipendi kabisa
 
Natamka toka nafsini Mwangu!

Naichukia chama tawala mpaka natamani leo hii mwaka 2015 iwe ndiyo kesho asubuhi na nione jeuri yao ikogo wapi kwa hali tuliyonayo kwa sasa Tanzania yetu!

Nasema tena naichukia ccm mpk na kesho naichukia!

Ni hayo tu wanaJF wenzangu!
Jioni Njema!

Mkuu hii ya kwako ni ndogo. Wengine wanaichukia ccm mpaka wanatamani wajinyonge kwa hasira!
 
Mi ulivyoitamka tu hiyo kitu basi tena dinner yangu imevurugika. Inabidi nirudi Kwa Morombo tena niendelee na konyagi yangu.

Mkuu yani kama siyo haka kausafiri yangu kutokuwa na wese yani ningekuja huko tukae kae hapa mpaka wakati mwingine hata muda usogee!

Lakini hakika ccm wamezidi kuijenga chuki nami na hata ndani ya Watanzania walio wengi na wenye uelewa!
Mama kiroboto anaambia ahirisha bunge kuna janga la kitaifa bado analeta nyodo utafikiri kuna kitu anajua kuhusu yajirio.

Hilo nalo leo imeniwekea kidonda mbaya ndani ya nafsi yangu!

ccm ni janga kwa Taifa letu jamani!

Naichukia sana tena sana!
 
Mkuu hii ya kwako ni ndogo. Wengine wanaichukia ccm mpaka wanatamani wajinyonge kwa hasira!

Ni kweli kbs Kamanda!
Ila hata kwangu ndiyo yamefikia huko sasa!
Siitamani hata nione jengo lenye kuitwa la ccm acha cha mtu kuvaa kiambatanisho cha chama hicho cha mafisadi!
Sitaki!
 
Mkuu yani kama siyo haka kausafiri yangu kutokuwa na wese yani ningekuja huko tukae kae hapa mpaka wakati mwingine hata muda usogee!

Lakini hakika ccm wamezidi kuijenga chuki nami na hata ndani ya Watanzania walio wengi na wenye uelewa!
Mama kiroboto anaambia ahirisha bunge kuna janga la kitaifa bado analeta nyodo utafikiri kuna kitu anajua kuhusu yajirio.

Hilo nalo leo imeniwekea kidonda mbaya ndani ya nafsi yangu!

ccm ni janga kwa Taifa letu jamani!

Naichukia sana tena sana!

Kwa chuki niliyo nayo hata kuandika neno lenyewe la herufi tatu naona nitatoka roho
 
Uwiiiiiiiiiiiii mi hata kulisoma hilo neno huwa naliruka. Halafu natamani sana mr. Dhaifu na sipika bi kiroboto wafe ghafla.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom