what's the most important thing in the world?

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,196
title says it all.fungukeni kitu muhimu kwenye dunia hii kwamba bila hicho kitu shida ingekuwepo..
I want to see what every one says to this off the top of their heads..
Karibu
 
Sasa hiki ni kitendawiliii.. Au methali? Kama ni kitendawili umekosa,vitendawili huwa havianzi hivyo!
 
Cheki hii kitu hapa:
 

Attachments

  • life-quote-10-march.jpg
    life-quote-10-march.jpg
    24 KB · Views: 28
Pumzi kwanza mangi.
manuu kama pumzi hakuna si inamaana maisha yasingekwepo kabisa? yeye kasema kwamba kwenye swali la msingi kitu ambacho kisingekuwepo maisha yangeleta shida.

BINAFSI KITU AMBACHO KISINGEKUWEPO MAISHA YANGEKUWEPO ILA YANGEKUWA NA SHIDA SANA NI ATOM.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom