Wa ajiri waoneeni wafanyakazi wenu huruma...kataeni kuwa wananchama wa mifuko ya Jamii...hadi..

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Tunaomba wa ajiri pamoja na waajiriwa kuweni kitu kimoja na kataeni hii mifuko ya jamii mpaka watakapo badilisha hii sheria ya kupewa pensheni ukiwa na umuri wa miaka 55 au 60!
Kwakuwa hii ni wizi wa mchana kweupe..maana katika takwimu inaonyesha mtanzania umri wakuishi ni miaka 40 hadi 45!Sasa iweje umpe mafao yake akishafikisha miaka 55??au 60??
Je hayo mafao yanawalenga warithi wao...Tunaomba wawakilishi wa wananchi mliongelee hili huko Bungeni..Na tunaomba mkwamishe bajeti ya Wizara ya Kazi...mpaka wawe wameeleza kwanini wanawadhurumu wananchi kwa makusudi??
Wanacha wa mifuko ya jamii wamedhulumiwa miaka mingi tangu NPF hadi NSSF!!ninani alijua kama wanakopesha??Sinipale alipolipuliwa Sumaye??
Naninani alijua Miradi yote waliyonayo mwanachama anafaidika vipi na mrahaba??

Tumefika wakati wakusema basi Wabunge kataeni
bila kujali itikadi mpaka wawape maelezo ya kutosha!!.
 
Back
Top Bottom