Mh. Lukuv unazid kukiangusha chama chako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Lukuv unazid kukiangusha chama chako!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dogo Lao, Jul 20, 2012.

 1. Dogo Lao

  Dogo Lao Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kuna mambo ya kupinga lakin sio kila jambo. Ninachokiona hapa ni kwamba unapinga tu hoja kwakuwa zinatoka kwa wapinzan lakini hauzipimi kwanza zinauzito kiasi gani. Imekuwa ni kasumba sasa kukanusha kila hoja huku ukiungwa mkono na spika au naibu spika, huenda ukawa unafanya vema kulingana na kanuni zenu, ila kanuni pia inampa fursa spika kutumia busara ktk baadhi ya mambo. Mfno hli suala tunaloomboleza sasa halaf mbunge anaomba lijadiriwe ili upatikane ufumbuzi wa kudumu ninyi hamuoni umuhimu wake, what does it mean? Bungeni ndio mahali sahihi pa kujadili mada kubwa kama hizi na sio kwenye hizo tume zenu zenye watu sio zaidi ya 50!
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,814
  Likes Received: 36,906
  Trophy Points: 280
  Kenge huwa hasikii hadi umtandike mpaka damu zimtoke maskioni ndo ataskia.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 3. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Okwigwa kwa mboloo mpaka mininga mmato
   
 4. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,215
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  namkumbuka

  Philip Marmo cjuwi yuko wapi sasa

  tabia zake zilikuwa kama huyu
   
 5. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Pia kuna hii...Kichwa cha mbuzi husikia kikiwa ndani ya chungu..
   
 6. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lukuvu anatetea ugali bila kutumia busara na kusoma alama za nyakati, simpendi mpaka basi!!!
   
 7. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  anatetea ugali huyo, hajalishi hoja zinazokuwa zinazoongelewa ni a tija kwa taifa au la, maadamu zimetolewa na wapinzani yeye ni kupinga tu
   
Loading...