Msaidizi wa Raisi masuala ya Lishe ni MGONJWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaidizi wa Raisi masuala ya Lishe ni MGONJWA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Jul 19, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Raisi kamteua huyu mtu kuwa msaidizi wake kwenye masuala ya lishe.....lakini huyu mtu ni mgonjwa na nina wasiwasi lishe ipi atakayokwenda kumshauri raisi......
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,465
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Fafanua basi.
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  nifafanue ninia rifu.....kwani weye humuoni mshauriw a lishe kuwa ni mgonjwa...
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,239
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kiriba-tumbo au?
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,577
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Khaaa mkuu Yo Yo fafanua basi!! Kwani mbona anaonekana fiti tu? Kwani alishadondoka jukwaani au akitoa hotuba? Maana anaonekana ni msomi ni lazima atakuwa ameshafanya presentations mahali? Anatokea TNFC au ni SUA? Du watu bana.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,260
  Likes Received: 4,244
  Trophy Points: 280
  shavu dodo....
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,884
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hapa sijaelewa kitu
   
 8. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,919
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  is it lipodystrophy? Ni afadhali isi ya yule ndugu yetu.
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,966
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Vipi arifu!!!
   
 10. N

  Neylu JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,645
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa mbona hukiweki wazi unachokimaanisha? Kama umeamua kusema sema bana..
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22,214
  Likes Received: 9,234
  Trophy Points: 280
  anaumwa na nini? ulimpima
   
 12. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  shavu dodo wakati ana goitre,
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  aiseeee jf ina vichwa bongo lala kweri....
   
 14. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  okay wewe bongo amka, sema anaumwa nini?
   
 15. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,226
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  ana kula zaidi ya mwili unachohitaji, ndio maana mwili umeamua kuweka akiba ya ziada anayokula. Angalia mafuta kwenye mashavu na shingo, nadhani mi-mafuta mingine itakuwa kwenye masaburi, tumbo, moyo nk.

  Hivi ukienda kuomba ushauri kwa mtu jinsi ya kulipa madeni na kabla ajaanza kukufundisha ukaona anajificha nyuma ya mlango kukwepa wadeni wake utaendelea kumsikiliza mtu huyu?
  Huyu mshauri wa lishe anatoa ushauri wote bila kubakiza wa kwake au hajui lishe ni nini.
   
 16. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,343
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  watu kwa kupima kwa macho!
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  tawiire arifu......
   
 18. f

  filonos JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  anaumwa kinduyuriiiiiiii ??????
   
Loading...