Kuwekwa wakfu kwa tovuti. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwekwa wakfu kwa tovuti.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KATATANAMA, Jul 23, 2012.

 1. KATATANAMA

  KATATANAMA Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana tar 22-07-2012 kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linaloongozwa na Askofu Zachary Kakobe limefungua rasmi tovuti zake kama njia mpya ya kueneza neno la Mungu. Sasa unaweza kupata taarifa za kina kupitia: www.fgbfchurch.org
  Pia kwa kupitia youtube unaweza kutazama vipindi tofauti tofauti. Na wasilisha.
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kakobe amekutuma nini? Mbona kwenye thread hakuendani na Ulichoandika ndani!!.
   
 3. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  ok! God be with him!
   
 4. n

  ng'wandu JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 333
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
Loading...