Hivi wanyakyusa peke yao ndiyo wenye ujasiri wa kuongea wazi na kutetea
haki za wananchi chini ya serikali ya Magamba au wao ni rahisi kuwateketeza?
1-Dr ulimboka.
2-Dr Mwakembe.
2-Prof Mwandosya.
makarani wa sensa wilaya ya ilala kituo cha zawadi secondary wamegoma kula kiapo cha kufanya kazi ya sensa mpaka watakapopewa malipo ya semina ambayo hawajamaliziwa. Hakuna kinachoendelea hapa...
Habari bandugu,
Kuna nyumba moja ambayo nadhani ilikuwa ya serikali pale Ada Estate , kama unatokea ST Peters karibia ya kukata kona ya kuingia Ali Hassan Mwinyi Rd unakuwa unaiona. Ile nyumba...
Baada ya mkutano feki wa mecki, wakati wanachama wengine wakiendelea na chakula, viongozi wa mecki waliokuwepo walikuwa na kikao cha dharura na kupitisha maamuzi yafuatayo;
1. Charles ndagula...
kabila la wahadzabe wametoa masharti ya kuhesabiwa kwa habari zaidi bofya hapa chini
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/8801-hadzabes-ask-for-monkey-meat-during-census
Mount Kilimanjaro
The Chairman of Tourism Confederation of Tanzania, Mr Gaudence Temu, said with the three natural features competing with the likes of Sahara Desert, encompassing over ten...
Ndugu,
1. vipindi,
2. Wataalamu,
3. Kuanzisha radio yako,
4. Kuboresha radio yako,
5. Mafunzo,
6. Utengenezaji wa mfumo bora wa vipindi (reprograming)
Radio zote za dini na secular usisite...
Ama kweli ukistaajabu ya Firauni utaona ya Mussa,
Leo katika vyombo vya habari manispaa ya kinondoni wamesema eti wanahamisha kituo cha daladala cha Mwenge kwenda Makumbusho. Cha kushangaza ni...
Maombi Maalum.
Mtumishi wa Mungu Bishop Zachary Kakobe Ijumaa August 31, 2012 atafanya maombi maalumu kupitia facebook. Unachotakiwa kufanya nenda kwy website ya www.bishopzacharykakobe.org...
Sasa yapata mwaka mmoja tangu sera ya "kilimo kwanza" ipitishwe na pia msimu mmoja wa mavuno tayari,
mwenye tathmini ya hali ya kilimo na mazao yake atujulishe tafadhali!
je imekuwa na maslahi kwa...
Kumekua na tetesi kuwa walimu wengi wamekosa kushirikishwa zoezi la sensa kama ilivyozoeleka kisa ni kujihusisha na mgomo.
Ukweli niliopata kutoka kwa afisa mipango wa wilaya moja ni kwamba kuna...
Kila nikipiga hii namba huwa haipokelewi kamwe, badala yake wanakula hela yangu tu kwa matangazo yao! Kwa nini hii namba haipokelewi? Mwenye msaada tafadhali tupia hapa Jukwaani! Anyway nilitaka...
Napenda kuipongeza halmashauri yangu ya jiji la arusha kwa kuwa na mikakati ya kuweka jiji safi kuanzia tarehe 1/9..hii itaambatana na kuwaondoa wafanya biashara wadogowadogo maeneo ya...
Magari chakavu ya uchafu (ya halmashauri) na UDA yanasababisha ajari nyingi sana barabarani, ukiona magari ya taka kwa wale wanaoishi ukonga wanajua jinsi yale magari ambavyo yameshasabaisha ajari...
Kwa nini hakuna chombo cha Habari hata kimoja kilichi ripoti Baraza la Iddi lililo Fanyika Mwembe Yanga front page kama lilivyo ripotiwa baraza la Iddi lilo fanyika Mnazi Mmoja?