Hivi karibuni nilipoke sms inayosema kuwa ukiongeza vocha ya Tsh 5,000.00 utapewa mara tatu,nilitekeleza na nikapata sms badae kidogo inasema nimepata Tshs 15,000.00
lakini itatumika kupiga simu...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ameitisha kikao kesho tarehe 15/09/2012 na wafanyabiashara wa mahoteli na nyumba za kulala wageni wa manispaa ya Morogoro katika ukumbi wa Rombo White Bar kuanzia saa...
UBS trader Kweku Adoboli, 32, allegedly invented fake deals to conceal his huge losses
Adoboli 'gambled away' £1.4billion in two years - knocking 10 per cent, or £2.8billion off UBS's share price...
Chama cha Tanganyika Law Society(TLS) - kamati hiyo iliyoundwa na NChimbi ni batili kulingana na sheria,misingi ya uundaji wa tume au kamati kuchunguza tuhuma za mauaji yaliyofanyika katika...
Mahakama imesema kuwa Tsvangirai tayari ana mke.
Lakini sasa Hakimu amekubaliana na Locadia na kuamuru harusi iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi...
I stand to corrected where I shall be missing the point,
Hv hiki Chama kipya cha Siasa kinachoitwa ADC kinaanzishwa kwa akili kweli yenye kuhitaji mageuzi ya dhati?
Sina kadi ya chama...
raia masikini wasio na hatia wanakufa lakini viongozi wao wanabaki na kupata umaarufu wa kisiasa ndani na nje . ndugu mwananchi mpendwa ukisikia kuna mkutano maandamano au mkusdanyiko wowote...
Ni wafanyakazi wengi unakuta wametimiza muda wa kupata promotion lakini hawapewi promotion wakati promotion ni haki ya msingi ya mfanyakazi.Hebu fikiria wafanyakazi wenzao wote ambao wameajiriwa...
Na Mwandishi Wetu
MUSOMA
CHAMA cha Waandishi wa Habari mkoani Mara MRPC, kimemfukuza uanachama wa chama hicho, mwandishi wa habari wa radio Free Afrika mkoani Mara Bw Maxmilian Ngesi baada...
Wanajamvi naomba kuuliza huyu kijana anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary? maana uki google jina lake na hata lile alilotajwa na Nchimbi (PASIFIOUS)...
Wakenya ni balaa jamani,kaingia tanzania miezi mitatu iliyopita kapiga majungu kwenye organisation hii ambayo ipo chini ya UN,kakuta watanzania wenye uwezo pale akawatumia kuandika report zake...
Chicago Teacher Strike Goes to Fourth Day
Maandamano ya mgomo wa walimu huko Chicago yakiwa ya amani kabisa hakuna hata polisi katika tukio hilo na hakuna mwenye kuzuia nguvu ya umma kwani ni...
Leo majira ya saa 18:30 jioni kumetokea ajali ktk kijiji cha RUANDA wilaya ya MBOZI barabara ya Mbeya Tunduma imetokea ajali ambapo mtoto mdogo mwenye miaka 12 amegongwa na kufariki papohapo hali...
Polisi Iringa
wamekiri kwamba wizi umefanyika
kwa timu inayochunguza kifo cha Daudi
Mwangosi, laki 9 na Ipad vimeibwa.
Chanzo: Couds FM, Aplifaya, Millard Ayo.
Habari wakuu?
naelekea airport nimekutana
na magari mengi sana ya
FFU defender na magari ya
kuwasha mawili.....
Yapo kasi sana,
mwenye taarifa yoyote
hatuzuje kama hali ni
tete tufunge...
ASCENSION CLASS #29 2-27-00 SANANDA "Perception"
This is what we are going to discuss for this evening's lesson perception, which you might say is 'simplicity', for there are many...