Mgomo walimu ulivyotikisa Chicago - Marekani - Polisi Tanzania wanajifunza nini?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
Chicago Teacher Strike Goes to Fourth Day

120910-chicago-hmed-243p.380;380;7;70;0.jpg
A2rOfxNCUAAi7bD.jpg
ctu-rally-mich-ave-1.jpg


Maandamano ya mgomo wa walimu huko Chicago yakiwa ya amani kabisa hakuna hata polisi katika tukio hilo na hakuna mwenye kuzuia nguvu ya umma kwani ni haki yao. Polisi wanahitajika tu kama kuna uvunjikaji wa amani.

Tanzania tunajifunza nini kutokana na mauaji ya raia yanayofanywa dhidi ya waandamanaji kwa amani kudai haki zao za msingi?
 
120912-teachers-chicago-725a.photoblog600.jpg


A2rjyiLCMAEff5e.jpg


Watoto nao wanashirikishwa katika kudai haki za walimu wao, lakini kwa Tanzania ni hadithi nyingine nakumbuka siku watoto majuzi walipolipuliwa mabomu walipojaribu kutetea hazi zao za elimu katika mgomo wa walimu.
 
Back
Top Bottom