Jihadhari sana na Wakenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jihadhari sana na Wakenya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Sep 14, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Wakenya ni balaa jamani,kaingia tanzania miezi mitatu iliyopita kapiga majungu kwenye organisation hii ambayo ipo chini ya UN,kakuta watanzania wenye uwezo pale akawatumia kuandika report zake nakuhakikishia progam director ameamua kuachia ngazi na mkenya ananyemelea position baada ya kumweka coutry director sawa,jamani wakenya sio watu jihadhari sana nao
   
 2. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,198
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  funguka mkuu
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,564
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180
  Tbia hiyo haina ukenya wala utanzania, mtu yeyote anaweza kuifanya. Mbona inafanyika sana hata among wabongo!!!
   
 4. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasi wasi wako tu
   
 5. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,164
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Kujihadhari nao ni kuwa mjanja zaidi...basi!
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  nawakikishia wakenya ni balaa kwa kujipendekeza watu acheni
   
 7. n

  njemba fulani Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ondoa xenophobia huko, topthinkers hawapo hivyo. Kama uko poa huwezi kuwaogopa.
  hata Watanzania wengie wapo hivyo pia. Hiyo haina utaifa.
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Wana tabia ya kujipendekeza na kiingeleza chaommbuzi
   
 9. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,945
  Likes Received: 1,752
  Trophy Points: 280
  Siyo wa-Kenya tu Mkuu, hii tabia hata baadhi ya wa-TZ wanayo sana hii tabia!

  Kabila linaloongoza hapa TZ kwa majungu kazini ni Wajita!! Na wewe taja wa kwako!!
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,885
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mhhhhhhhhh!
   
Loading...