Timu ya kuchunguza kifo cha Mwangosi imeibiwa Iringa.

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Polisi Iringa
wamekiri kwamba wizi umefanyika
kwa timu inayochunguza kifo cha Daudi
Mwangosi, laki 9 na Ipad vimeibwa.
Chanzo: Couds FM, Aplifaya, Millard Ayo.
 
Nimemsikia RPC wa Iringa, Michael Kamuhanda, akisema kwamba, timu hiyo imeibiwa baada ya wezi kufungua mlango wa lodge ya Ruaha International kwa kutumia master keys na, Polisi Iringa inafanya uchunguzi.
Wasiwasi wangu: Yawezekana imesukwa dili ili vifaa hivyo kuiibwa ili kupunguza kasi ya uchunguzi.
 
Hakuna uchunguzi hapo wamejiibia wenyewe ili ionekane uchunguzi umeshindikana
 
Polisi Iringa
wamekiri kwamba wizi umefanyika
kwa timu inayochunguza kifo cha Daudi
Mwangosi, laki 9 na Ipad vimeibwa.
Chanzo: Couds FM, Aplifaya, Millard Ayo.

Nimesikia pia katika Radio Free Afrika ktk kipindi kinachoongelea habari za magazeti. Je MGOMO WA KUSUSIA habari za kipolisi unaendelea.
 
Nimesikia pia katika Radio Free Afrika ktk kipindi kinachoongelea habari za magazeti. Je MGOMO WA KUSUSIA habari za kipolisi unaendelea.
Hakuna mgomo tena hapo. Zimepatikanaje habari za wizi huo? Si umesikia ni chombo cha habari kilichotoa habari hizo? Double standards za waandishi wa habari. Imekula kwake tu Mwangosi, hata wenzake wamemtosa. Danganya toto na kutafuta umaarufu kwa mgongo wake vinaendelea. Kadiri jina la Daudi Mwangosi linavyotajwa anayedhurika kisaikolojia ni ndugu zake tu. Huenda hata hizo habari za wizi ni strategy za polisi kuwadaka waandishi wa habari njaa kuona kama kuna umoja kwa waandishi katika kususia habari. Kwani zilichaguliwa habari za kipolisi za kususiwa? Polisi wameshinda hapo.
 
Back
Top Bottom