wananchi jihadharini na mikutano isiyo vibali ni kafara za CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wananchi jihadharini na mikutano isiyo vibali ni kafara za CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kupe, Sep 5, 2012.

 1. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  raia masikini wasio na hatia wanakufa lakini viongozi wao wanabaki na kupata umaarufu wa kisiasa ndani na nje . ndugu mwananchi mpendwa ukisikia kuna mkutano maandamano au mkusdanyiko wowote unaohusiana na vya vyama vya siasa ukagundua hauna kibali tafadhari sana kaa mbali kwa usalama wa maisha yako..... MTUME MUHAMMAD S.A.W alisema usipende kujiweka mbele mbele. naye YESU wa NAZARETI alialikwa kwenye sherehe kamwe hakwenda kukaa kwenye mstari wa mbele. mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie TANZANIA tunakoelekea sasa sio CHADEMA wanaipeleka nchii iwe kama SOMALIA au WATUTSI NA WAHUTU. ...... najiuliza hivi ikitokea uchaguzi ujao na CHADEMA wakashindwa itakuwaje?????????????
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  You too are a great thinker!
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jina la Mohammad lihimidiwe!
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tahadhari itazingatiwa
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye nyekundu nina..................!!
   
 6. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kaka soma vitabu iwe siasa , sayansi pia na vitabu vya mungu vipitie utayakuta hayo.muda si mrefu tutakuwa wakimbizi . ipo siku utanitafuta .
   
 7. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  yule muuza magazeti ana ndugu zake jamaa na marafiki, na mwandishi wa habari hali kadhalika . wale polisi wana ndugu zao ,familia , marafiki etc. CCM wana wafuasi wao, CHADEMA ,CUF ,TLP,NSSR etc nao wana wafuasi wao. je ikitokea kulipiziana visasi tutaishi kwa amani kweli katika nchi hii ............majirani zetu watatucheka
   
 8. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  wanajamvi jihadharini na thread kama hizi, ni za wafuasi wa magamba
   
 9. S

  Shansila Senior Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ni walewale wenye fikra chovu...sijui anamwambia nani hapa mwenye akili kama zake?yaani watu kama hawa ukisoma thread yake tu unajua alivyo..uvaaji wake,mlo wake,elimu yake nk.........ila ujumbe wake utawafikia watu wa aina yake tu.........lkn c wenye akili.
   
 10. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mleta mada ima ni matunda ya magamba au hafikirii vizuri ukiachia mbali kuwa kwenye hali ya kutatanisha kiakili. Soma sheria ujue ni ipi mikutano halali na haramu. Kwanini CCM wakifanya mikutano hata kwa kuvunja sheria ni halali lakini CDM wakiifanya tena kwa kufuata sheria inaonekana haramu kwa mafisadi na magamba wanaoogopa kiama chao kwa kuengeliwa? Shame on you all who think you will bombard people with lies forever without being unearthed.
   
 11. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umetumwa na nape au mchemba ? Usilete prapaganda za magamba hapa.
   
 12. N

  Nguto JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,653
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kwani CDM ndio wanaoua? Mbona vyama vingine vinafanya mikutano na vinafungua matawi polisi hawaendi kuua? Kwanini wanaenda kuua kwenye mikutano na shughuli za CDM tu?? Wanawaogopa kwa vile chama kinaanza kukubalika? Sidhani kama mada yako ni sahihi!!!
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  "Tumewatuma vijana zaidi ya elfu mbili kwenye mitandao ya kijamii wakitetee chama!"- Nape Nnauye
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Yani wewe ni mvivu wa kufikiri kweli! Sasa wananchi wanatolewa kafara na Chadema, hata waandishi wa habari nao?

  Watu wanarekodi vita Syria na Iraq na wanarudi makwao! Labda utuambie ccm ndo inatoa kafara!
   
 15. u

  ureni JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Wewe tayari nimeshakugundua mwelekeo wako,kwa nini hapo kwenye nyekundu hukusema CCM wakishindwa itakuaje???Unaonekana kabisa wewe ni magamba.
   
 16. Sisomeki

  Sisomeki Senior Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  umemsahau shigela zee zima linajiita kijana
   
 17. M

  Movement 4 Change Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni gamba la magamba,wale ccm bububu walikuwa na kibali gani? Si polisi hao hao waliozuia mikutano kwa ajili ya sensa ndio hao hao waliokuwa na kombati zao wakimlinda Ghalib Bilali? Cdm hawajafunja sheria,ila ccm wanavunja kila siku. Na kama pale bububu ingelikuwa cdm ungeliona pangelichimbika balaa! Ipo siku na wao watakuwa wapinzani......................... Mapumbafu pumbafu post zenu kawapeni watoto zenu huko nyumbani kwenu Mabwepande!!!!!!!!!!!!
   
 18. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  jaman upinzani nao noma.mpaka ukihisiwa ukweli unafume.
   
 19. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  upo sahihi 100% huko ndiko serikali ya ccm inapotupeleka maana hawana mbinu mbadala ya kukabiliana na wanamageuzi,juzi kwenye kongamano la katiba mwanasheria wa ccm kazomewa na waliohudhuria c ajabu ingekuwa mkutano wa hadhara wangewatumia polisi kusambaratisha mkutano. Hiyo ni ishara kwamba watu wamechoka,wamekata tamaa na mbaya kabisa imani na hata bunge haipo tena.Majibu mepesi,siasa za kusaidiwa na dora hazina nafasi tena. Kama kweli mikutano ya chadema ndio kafara je songea na nyamongo ambapo watu waliuawa na kisha wauaji kudhalilisha utu kwa kutupa maiti barabarani ?Hivi sasa kunaukandamizaji unafanywa na ccm na serikali yake ,wajirekebishe la sivyo polisi haitawasaidia
   
 20. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Watu wengine sijui wameumbwaje. Hata chai ya asubuhi hapati lakini bado ubongo umejaa garbage tu . Jamani tusomemshe tu hata kama ni huko kwenye za kata.
   
Loading...