Anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mumburya, Sep 13, 2012.

 1. m

  mumburya JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 268
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 45
  Wanajamvi naomba kuuliza huyu kijana anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary? maana uki google jina lake na hata lile alilotajwa na Nchimbi (PASIFIOUS) halionekani NECTA. isije ikawa tunauziwa mbuzi kwenye gunia au kwa lugha rahisi kanyaboya.

  Naomba habari za uchunguzi zichukue nafasi yake.
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  Safi sana kijana! Maana kwa umri tuoambiwa wa huyu askari lazima awepo kwenye list tena pengine kahitimu miaka si mingi maana umri wake mdogo sana!!

  Wanabodi lazima tufanye utafiti tuwaumbue hawa!
   
 3. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani hamjui ajira za polisi jamani? Jina Pasifius ila cheti cha kuingilia ni cha MwajumaNdalaNdefu
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Another stupid act of ccm!!
   
 5. m

  manucho JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lazima itakuwa vyeti vya kufoji, anaweza akawa hajui hata kusoma wala kuandika na jina lake halisi si Pacifius. Muda najaribu kupitapita kwenye nyuzi humu jf nisikie hata mdau mmoja wapo amesoma nae labda primary sijaona, soma magazeti hakuna hapa Nchimbi atakuwa anatuzuga
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Mwema anacheza na akili zetu
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huyu bwana anaweza akawa muuza mkaa wamemtoa kibaigwa kwa malipo baada ya kazi
   
 8. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Huyo ni kanya boya kuanzia jina mpaka wasifu huu uzandiki wa kukodi MUNGIKI wa kenya ni kutuliza mambo muda si mrefu itamtokea puani SAID MWEMA.
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Great Thinkers !
  mmefikiri kwakina sana
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,177
  Likes Received: 10,516
  Trophy Points: 280
  Hivi polisi si wanachukuliwaga darasa la saba?..
  Mbona ni kama mnapoteza muda..hakuna polisi aliyehitimu fm 4.
   
 11. S2dak_Jr

  S2dak_Jr Senior Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nilijua labda ni tatizo la kamchina kangu. Maana tangu saa kumi usiku nagoogle lakini ni patupu.

  Labda na huyu katolewa Kenya kama yule wa Dr. Uli.

  Nchimbi, Mwema na Kamuhanda ni janga lingine.
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Aibu sana!

  Kama hajafika form 4 halafu wanampa bunduki, si unajua kwenye haya majeshi ni kujuana saaana!
   
 13. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  wote hawa ni wauwaji wafikishwe mahakamani,
   
 14. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  PACIFIUS CLEOPHACE SIMON Hakuna jina kama hilo kwa watanzania walio wengi, majina yakiwa matatu, utakutana la kienyeji duh! hii ni kali that why alifunikwa sura
   
 15. J

  Jost Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Au na huyu nae alienda kanisani kutubu?
   
 16. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Thanks great thinkers Watanzania wa leo sio wa jana! SHAME ON YOU NCHIMBI,MWEMA!
   
 17. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  Kwa umri wa huyo askari ni dhahiri kaajiriwa juzi juzi tu! Jeshi la polisi halipokei vijana wenye elimu chini ya kidato cha nne kwa muda mrefu sasa.

  Kiukweli huyu kijana hayupo kwenye list ya Necta mtandaoni!!! Wasituambie kijana amedanganya jeshi kwa vyeti feki! tunataka tumtambue huyu mshtakiwa maana hakuna haja ya siri while hili swala ni la public tuacheni mzaha kuna vitu havijakaa sawa kabisa!!!
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  tafakarini 2015!!!
   
 19. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  Kwanini afichwe wakati hili swala ni public? mbona washtakiwa wengine hawafichwi? Subirini wadau wapekue kila mahali kumjua huyo mtu waliyemtoa chambo!!!!
   
 20. s

  sugar ray Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah!...
   
Loading...