Kwa muonekano na kwa undani wako adc siyo afya kwa siasa za tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa muonekano na kwa undani wako adc siyo afya kwa siasa za tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Penguine, Sep 15, 2012.

 1. P

  Penguine JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  I stand to corrected where I shall be missing the point,

  Hv hiki Chama kipya cha Siasa kinachoitwa ADC kinaanzishwa kwa akili kweli yenye kuhitaji mageuzi ya dhati?

  Sina kadi ya chama chochote cha siasa ila ninamshikamano na sera za vyama vya siasa. Sera zenye lengo la demokrasia na ukombozi wa mtanzania kielimu, kiuchumi, kisiasa nk.

  lnanishangaza kuona ADC ikianzishwa kimuonekano wa rangi zake kama kibaraka wa kisiasa anaezaliwa kwa lengo la kupambana na vyama vingine vya siasa mathalani CHADEMA.

  Leo nimeona nianze na muonekano kwa maana ya rangi za bendera ya ADC ambazo ni za kufanana kabisa na CHADEMA. Naona kama ni mbinu kwa ajili ya kughiribu wananchi wakati wa kupiga kura. Kwa maana ya mkakati wa kuwafanya Wanapiga mura wapate utata ktk kutk kutofautisha kura kwa ADC na CHADEMA.

  Mawazo zaidi tafadhali
   
Loading...