Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Asubuhi hii kwenye mtandao wa kijamii wa twitter Dr Slaa ametweet hivi: "Watanzania wataichukua nchi yao mwaka 2015.Tuzidi kuungana tukielekea kukamilisha azma ya kuikomboa upya nchi...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mficha maradhi mwisho humwumbua. Yalisemwa, yanasemwa na viongozi wa juu wameamua yaendelee kama yalivyo kwani kuyafanyia kazi inawawia vigumu kwa kuwa wahusika ni wao na kila wanakogeukia...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimepata habari kuwa ndugu Nsubisi Mwakipunda ameaga duni,mwendazake huyu alikuwa kati ya waandishi wa habari waandamizi hapa nchini,amewahi pia kuwa mwandishi wa Waziri Mkuu miaka ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imedhihirika katika kujiweka sana na kuwa na uhakika kuna baadhi ya wabunge wameukwaa uenyekiti wa CCM wa mikoa wanayotoka, natoa mfano kwa baadhi yao Tanga amechukua Henry Daffa Shekiffu mbunge...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikizisia kauli za kinafki za viongozi wetu, wengi wakiwa ni hawa wafuja mali maarufu, Kitendo cha Mbunge wa Ludewa bwana Deo Filikunjombe kumponda Mwanakijiji ni unafki wa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kamanda freiser kashai amefanya mkutano wa hadhara jion hìi na watu wa kasulu mjini kuhusu usalama.mkutano huu umefanyka baada ya matukio ya ujambazi wilayan apa kushamili. Tukio la kwanza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nyumba moja katika mtaa wa Rufita mkoani Tabora.Imeteketea Kwa kuwaka moto.baada YA hìtilafu ya umeme kutokea.fire wafika bila Maji ya kut osha huku Mipira ikiwa Imepasuka.hivyo kulazimisha watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sifa kubwa ya Marekani ni kutokuwa na maadui na marafiki wa kudumu zaidi ya kuangalia maslahi kwa taifa lao,hali hiyo ndiyo maana utaona Marekani ina pambana leo nchi fulani lakini kesho yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa; Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA) Katibu Mwenezi - Nape Nnauye Mambo siasa na nje-...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikihangaika kujua kama kuna fisi dume na jike kama watu wengi wanavyoamini kuwa FISI ana maumbile ya kike na dume. Nilijaribu kupita na kuuliza kwa wataalam wanaofanya...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Akizungumza na WAPO radio leo asubuhi askofu Kilimba amekanusha vikali madai yaliyotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa baraza la maaskofu limeomba radhi. Alisema kuwa wao walionyesha...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Over the past few days, Ms Josephat's life has been turned upside down. Our conversations with her reveal a haunted woman, tormented by events that got out of hand. She says since her boy was...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nchi yetu inaenda pabaya kwani waislam wanaona kama wanaonewa na serikali hii, lakini wakristo wamekuwa wanashabikia na kua upande wa serikali kufurahia madhila yanayo wapata waislam. hakuna...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Viongozi walio kamati ya ulinzi na usalama mkoani mbeya akiwemo Rpc Diwani na RSO,pamoja na Rco wamekutana katika hotel ya Mkolla usiku huu huku mzee Abson Mwang,onda ambaye ni DGI mstaafu akiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Status update By Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar TANGAZO MAALUM. JUMUIYA YA UAMSHO INATANGAZIA MUHADHARA KESHO MKUBWA SANA ULOKUWA HAUJAWAHI KUTOKEA HAPO MBUYUNI SAA 10...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Hivi Rais anaposema, "Nawaambieni, mkifanya mchezo ipo siku mtakuja kujuta maana mkishamchagua kiongozi asiyefaa, mtalazimika kuwa naye huyohuyo hadi 2017, na kama Waswahili wanavyosema majuto ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu deni la marekani sasa ni dollar trillion 16. Ni nani anayeidai nchi hii?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sat, Oct 27 10:29 AM EDT By Fumbuka Ng'wanakilala ARUSHA, Tanzania (Reuters) - Tanzania should stick to existing agreements in the fast-growing mining sector or investors will lose...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Historia inaonesha kwamba katika Africa, viongozi wengi baada ya kushindwa kutawala nchi zao kidemokrasi kwa sababu ya ufisadi na rushwa njia rahisi kwa wao kuendelea kubaki madarakani ni kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Ikiwa namba yako ya simu inaishia na: 0-malaya 1-mkweli 2-***** 3-mjinga 4-mzushi 5-mrembo 6-mbulula 7-mwema 8-muongo 9-zezeta mtarajiwa Mwenzangu uko namba ngapi sema ukweli wako!
0 Reactions
13 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…