Je, watanzania wajua kwa dhati matumizi mabaya ya redio, TV na magazeti? Jadili

JBITUNGO

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
1,356
608
Historia inaonesha kwamba katika Africa, viongozi wengi baada ya kushindwa kutawala nchi zao kidemokrasi kwa sababu ya ufisadi na rushwa njia rahisi kwa wao kuendelea kubaki madarakani ni kutumia vyombo vya habari kuwagawa wananchi kwa kutumia dini au ukabila au ukanda or any other ethnicities.
 
Back
Top Bottom