Nyumba mkoani tabora inawaka moto muda huu.fire wamefiua wakiwa na maji kidogo...

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Nyumba moja katika mtaa wa Rufita mkoani Tabora.Imeteketea Kwa kuwaka moto.baada YA hìtilafu ya umeme kutokea.fire wafika bila Maji ya kut osha huku Mipira ikiwa Imepasuka.hivyo kulazimisha watu kuteka maji kwa ndoo kwenye gari la fire ili kuzima moto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom