Dr. SLAA awapa tumaini Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. SLAA awapa tumaini Watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mcubic, Oct 28, 2012.

 1. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,165
  Likes Received: 4,194
  Trophy Points: 280
  Asubuhi hii kwenye mtandao wa kijamii wa twitter Dr Slaa ametweet hivi:
  "Watanzania wataichukua nchi yao mwaka 2015.Tuzidi kuungana tukielekea kukamilisha azma ya kuikomboa upya nchi yetu.Nawatakia Jumapili njema."
   
 2. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,972
  Likes Received: 1,390
  Trophy Points: 280
  Huyu ndiye dr.wa ukweli na rais wetu wa moyoni
   
 3. UPIU

  UPIU JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 602
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Naona yuko kambi ya Lowasa, anaganga njaa
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  naam!safari ya kuelekea nchi ya asali na maziwa ndio hiyoo!

  Tendwa ona ccm wanavyotwangana lakini umeufyata kimyaa!
   
 5. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well said dr.slaa..................tUko pamoja sana
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani anamananisha kuwa CDM itatoa somo la nguvu leo hii katika uchaguzi unaondelea hivi sasa na kisha baadae 2015 waungwana wote wanajua kura zao wapeleke wapi?????
   
 7. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  baada ya ukombozi kwa mara nyingine, walioshikilia nchi kwa sasa wataachwa wabaki kama wawekezaji? au watatakiwa warudi kwao kama wale wa mara ya kwanza?
   
 8. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Bado2 anauota urais? namuona kama ni mtu aliyechangia kuharibu maadili ya watanzania kudharau vyombo vya sheria na mamlaka zilizowekwa kwa mujibu wa sheria
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu nataka ukachukue jimbo huko kwenu 2015 au unasemaje...hahaha
   
 10. m

  mukandarasi JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 873
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Kama kweli ndivyo unavyoona,basi macho yako hayana ushirikiano nenda kamuone dkt!
   
 11. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  My next president Dr Slaa.Tuko pamoja!
   
 12. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,972
  Likes Received: 1,390
  Trophy Points: 280
  Inaonekana hujui kinachoendelea nchi hii bora ufunge mdomo!
   
 13. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  We ni gamba tu huna lolote na huna uwezo wa kutambua mambo yani Dr. Unamfananisha na fisadi wenu
   
 14. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Nchi hii inabaki nyuma kwa sababu ya mbulula kama wewe usiyejua lolote kwako bora kukuche tu ******mkubwa wewe kajipange
   
 15. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hahahahaha....ndoto nazo huwa znasaidia kuondoa stress.
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nasubiri kuona matokeo ya uchaguzi wa madiwani nchi nzima ndipo tutajua kazi ya CDM imefanikiwa kiasi gani katika kuwafikia wananchi.
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakika Dr Slaa ni tunu maalum tuliyopewa na mwenyezi Mungu ili aje atukomboe. Long live Dr Slaa, long live CHADEMA. Ameen.
   
 18. N

  Ndumbwi Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja na wewe ......Dr. Slaa
   
 19. obi's

  obi's JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  well, chadema ina wafuasi wengi sana, maana ktk pitapita zangu huko na kule kila unaemsikiliza ni people's power!! Khaaa! Kumbe wengi ni wapiga kelele na wala si wapiga kura!? Je, tunataka mabadiliko ya kweli? Au tunapenda kusikika tukisema dr. Wa ukweli, people's power na makelele mengineyo?
   
 20. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Eti Rais wa moyoni mwake sasa si bora asigombe kwani tayari rais wenu
   
Loading...