Uwenyekiti wa Chama na Ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwenyekiti wa Chama na Ubunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pilau, Oct 28, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Imedhihirika katika kujiweka sana na kuwa na uhakika kuna baadhi ya wabunge wameukwaa uenyekiti wa CCM wa mikoa wanayotoka, natoa mfano kwa baadhi yao Tanga amechukua Henry Daffa Shekiffu mbunge wa Lushoto, Mbeya amechukuwa Mh. Zambi mbunge wa mbozi, Dodoma Adam Kimbisa Mbunge Afrika Mashariki... na wengine n.k. My take je? hii ni kuhodhi madaraka, kuwabania wengine? au kulazimisha mtandao uwe katika mstari, au wao ndo bora kuliko wengine waliomba au kuleta vurugu katika Chama?
   
 2. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Huu ni uroho wa madaraka na kufifisha mfumo wa utawala wenye fikra shirikishi kwani kufanya hivyo watu mnaishi na kutawala kwa mazoea bila kuwa na challenges kati yenu wenyewe, sasa zinapokuja kutoka nje ya wigo wenu ndio hapo sasa inapokuwa vurugu na kuonekana kama watu wanaingiliwa.
   
Loading...