Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,769
- 10,645
Akizungumza na WAPO radio leo asubuhi askofu Kilimba amekanusha vikali madai yaliyotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa baraza la maaskofu limeomba radhi. Alisema kuwa wao walionyesha kusikitishwa tu na michezo ya kitoto iliyopelekea kukojolewa kwa kuran na watoto hao. Alisisitiza kuwa kamwe hawatawaomba radhi watu waliochoma makanisa. Amedai kuwa vyombo vya habari vimeandika upotoshaji na kuwa tamko halisi linapatikana mtandaoni.
Mtazamo wangu: ndugu zetu waislamu wanatakiwa kujitokeza hadharani na kujitenga na waislamu wenye msimamo usiofaa ili kurejesha mahusiano mema.
Mtazamo wangu: ndugu zetu waislamu wanatakiwa kujitokeza hadharani na kujitenga na waislamu wenye msimamo usiofaa ili kurejesha mahusiano mema.