Tanzania (Fedha ya kuwauzia ardhi)
Wa kwanza ni CHINA
Kuna watanzania waliofikia uamuzi wa kususia bidhaa za Marekani. Sasa sijui na hizi net za bure watasusia?!Tunapewa net za mbu unafikri ni za bure!tutaisoma namba muda si mrefu
Wanaoongoza ni securities na trustee mbalimbali za marekani, kama huku kwetu serikali inavyokopa/kuchukua NSSF, PPF, GEPF, LAPF etc... China yeye ni wa pili. Lakini kwa mdororo huu wa uchumi wa EU na US, muda si mrefu China ataongoza, kwani huwezi kuendelea kukopa 'ndani' kuna limitations zake kwa swala zima la ukuaji wa uchumi wa nchi....
China is the Largest owner of US treasures.To the end of June 2011 china has Foreign exchange reserve US $ 3.2 Trillion, In July 2011 China had US treasures US $ 1.16 Trillion. hii ni kusema kwamba China US debt holding increased to US $ 7.3 billion.
I always say...Never lend money to someone that you have no way of getting it back if the other party choose not to pay.
The US could destroy the entire chinese economy by simply stop payment that loan.