Jumuiya ya uamsho yatangazia muhadhara kesho mkubwa sana hapo mbuyuni saa 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumuiya ya uamsho yatangazia muhadhara kesho mkubwa sana hapo mbuyuni saa 10

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HUNIJUI, Oct 20, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]Status update
  By Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
  TANGAZO MAALUM.

  JUMUIYA YA UAMSHO INATANGAZIA MUHADHARA KESHO MKUBWA SANA ULOKUWA HAUJAWAHI KUTOKEA HAPO MBUYUNI SAA 10 JIONI.
  SHIME WAISLAMU SOTE TUHUDHURIE.
  SIMBA WETU AMIR FARID JUKWA LITAKUWA LAKE KESHO ISHALLAH.

  TANGAZO LA PILI.

  UONGOZI WA PAGE HII UNATOA ONYO KALI KWA WALE WOTE WANAOFANYA PAGE HII KAMA NI SEHEMU AU UWANJA WAMATUSI,TUNAOMBWA WAISLAMU WOTE TUCHUNGE MILA NA TAMADUNI ZETU WAISLAMU KUTOKUTUKANA NA KUSHINDANA KWA HOJA.
  VILE VILE TUNAOMBA RADHI WAISLAMU KWA KUCHELEWA KUFUTA NA KUWABLOCK WALE WOTE AMBAO WAMEFANYA HILI NI JUKWAA LA MATUSI NA KUIKASHIFU DINI YETU.
  HII INATOKANA NA KWA BUSY SANA KATIKA KIPINDI HICHI CHA AMIR KUKAMATWA.
  ILA TUNAWAMBIA WALE MAKAFIRI WOTE TUNAANZA KUWA BLOCK NA KUWATOA KATIKA HII GROUP WAKATAFUTE PAGE ZAO ZA KIKAFIRI SIO HII.
  ILA KUNA WACHACHE AMBAO WAMENITUMIA MSG WAMESEMA WAO WATAKUWA WANASHINDA KIHOJA SIO MATUSI HAO NITAWACHIWA ISHALLAH M,MUNGU ANAWEZA KUWAONGOA BAADA YA KUWAPA HOJA ZETU SISI WAISLAMU.

  TUNAOMBWA WAISLAMU WOTE TUWE WENYE SUBRA KUEPUKA MATUSI.

  WABILAHI TAUFIQ
  TUACHIWEE TUPUMUWEEE

  Chanzo Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar | Facebook
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hawa watu hawa, isije ikawa mod wa group ni JUSA ISMAIL
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  kikwete akiendelea kuwachekea watakuja wamtoe siku moja kule ikulu kama walivyofanya kwenye nchi za kiarabu, kama wanao ujasiri hadi wa kwenda ikulu, unafikiri hawawezi kumteka wakiamua...anacheza na mbwa atajikuta wamemfuata hadi msikitini. please kikwete, toa disipilini kwa hawa watu. wanatuchosha, tunahitaji amani hapa tz.
   
 4. New Nytemare

  New Nytemare JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 1,797
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  pumbavu zao Uamsho...mawakala wa Arab
   
 5. w

  wa majambo Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we nawe toka banaa..tumechoka kusikia kulialia kwenu kikwete kikwete kwanza hili tangazo hata halikuhusu kimbelembele tu waliotolewa tangazo wamekaa kimyaa we kiroho juu peleka UKAFIRI wako huko !
   
 6. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mchele aka Ubwabwa,Wali,Pilau nk vitakuwepo?
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Serikali iendelee tu kucheka na nyani!!
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  "upumbavu ni kipaji"
   
 9. njeeseka

  njeeseka JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 1,240
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa ni hatari sana, wanatamani hata leo wachukue nchi kwa mabavu. jamanii wapenda nchi hii tujiandae kwani kuna kila dalilii ya kwamba hili kundi lina wafadhili wanaotamani amani ya tanzania itoweke na kupenyeza watakacho. tujifunze mataifa ya kiarabu mbona hawana amani? wana lao jambo ila mimi niko tayari nawasubiri hawa magaidi hawani jipya kwa sasa wanatudanganya kujificha katika uislamu kama wana nia njema kwa nini wasiitishe mkutano wa watu wote? kwani swala la muungano na katiba ni la waislamu tuu. wasitufanye mambumbumbu, wao ndio mazuzu.
   
 10. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mnafadhiliwa na freemasons
   
 11. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  hapo kwenye red, je, unaweza kuwataja hata kwa makundi waliopo Tanzania, au umepost hii post ukiwa tayari umelewa zile bia mliziiba pale visiwani zenj?
   
 12. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimecopy na Kupaste angalia kwa umakini source. Hapo kwenye red
   
 13. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  kumbe umeelewa eeeeh!!! natania, samehe Mkuu kwa kukutuhumu
  nami pia nimekuelewa, hao jamaa walilewa kwanza ndipo wakaandika tangazo
   
 14. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,142
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  hicho ni chama cha siasa cha waislamu pekee.
   
 15. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wanajiita Boko haram ya Tanzania
   
 16. idete

  idete Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kumetagaziwa kwenye vyombo vya habari,HAKUNA MIKONGAMANO YA KIDINI. hiii inatokea wapi?
   
 17. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Akili za wanauamsho ni sawa na kuku jike anayesubiri kuatamia shule hamna hoja hamuwezi mkiambiwa ukweli mnalialia dawa yenu kuwapiga marufuku mkahubiri baharini kuna samaki mtaelewana
   
 18. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi hawa waarabu pori wana mapepo ya namna gani?????
   
 19. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,142
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  i heard so ila siunajua wao wako juu ya sheria,hivyo sheria lazima ipindishwe kwa maslahi yao.embu ngoja tuone kitakachojiri hiyo kesho.
   
 20. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,142
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  wanahamasishwa na chadema hawa
   
Loading...