Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Collin Powel amesema wazi kuwa alimpa kura yake Rais Barack Obama katika uchaguzi uliofanyika 2008. Pia ameeleza wazi msimamo wake kuwa...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Nimekuwa nikifuatilia utabiri wa hali ya hewa kwa muda wa miaka 10 sasa lakini nimeamua kuacha kuuamini baada ya utabiri wake mwingi kutokuwa sahihi. Watakuambia Tabora kutakuwa na mvua na vipindi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hili gazeti no very liberal na hawajawahi kuendorse Republican Mara ya mwisho walimwindorse republican 40 years.Hili gazeti wakimwindorse mtu lazima ashinde.Romney akishinda Iowa hatohitaji Ohio...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
San Marino ni nchi ndogo sana iliyopo katika bara la Ulaya,ilipata uhuru wake karne ya kumi na tano na mpaka sasa ina idadi ya watu 30,000...na ni nchi pekee ambayo katiba yake ni ya siku nyingi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumezuiliwa Same zaidi ya saa moja sasa, eti tunasubiri msafara wa raisi upite!! Hivi gari la Raisi lina ukubwa gani lisiweze kupishana na basi barabarani?? Ukiachana na hivyo,msafara wake si una...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imewekwa matatani ikielezwa kuwa nayo inastahiki kuchukuliwa hatua kutokana na kuzembea katika ukaguzi wa dawa na hivyo kusababisha dawa bandia za kupunguza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu kama kuna mwanajf mwenye matokeo ya kata zote zilizofanya uchaguzi naomba atujuze!!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakenya punguzeni mdomo na kiherehere fanyeni kazi. Tanzania scoops top position as best route for transit goodsTanzania is the best route for transit goods in the region, according to a new...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
nilikua nasikiliza WAPO radio FM kuna habari kutoka Tabora ikimnukuu doctor Slaa kuwa ana ushahidi wa kutosha kuwa mtoto wa Kigogo mmoja wa CCM alikamatwa na madawa ya kulevya huko China July...
6 Reactions
119 Replies
31K Views
kila mara tunaona watu kwenye vyombo mbalimbali vya habari.wakisumbuliwa na magonjwa ambayo kwa kweli yanakuwa hayana matibabu hapa nchini bali wanaomba msaada kwenda kutibiwa ughaibuni hususan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nielezee kwa kurejea matukio haya 1.Kwanza ni uchaguzi wa UWT uliotawaliwa na vijembe vya hali ya juu baada ya shyrose bhanji kumuuliza sophia simba kama mgombea uenyekiti tena swali zuri mno...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nchi ya Tanzania inakadiliwa kuwa na idadi watu wapatao million 44 ( japo tunasubiri matokeo ya sensa ya 2012 yenye utata). Nchi hii inakadiriwa kuwa na makabila yapatayo 121 au zaidi. Ina...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Hii ni sala maalum ya kuombea Taifa amani, na imeombwa makanisa yote leo. Tuombe: Mwenyezi Mungu, Baba wa milele, ulijalie Kanisa lako ulimwenguni mwote umoja na amani. Uliimarishe linapoteswa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimefuatilia taarifa ya habari mpaka taarifa za kitaifa zinaisha, sijaona taarifa ya chaguzi zilizofanyika leo katika kata 29 nchini. Je wameona taarifa ya chaguzi hizi si muhimu kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Masanyinta A.176 ccm na chadema 76 na kituo b ni 143 na chadema ni 62 mpapa A.ccm 200 na chadema 53 B ccm 177 na chadema 78. Kasanu B 110ccm na chadema 43 A ccm 98 na chadema 60. Hili ni jimbo la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sikuamini macho yangu jana pale kijijini kwetu.Jamaa aliyekuwa akitetea CUF mwaka 2005 kama muislamu alifika msikitini na kutaka tumpe matatizo yetu yote.Wazee wakachangamkia tenda haraka.Jamaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumai habari zitakufikia mana jamii forums inasomwa kila mahala. Tatizo langu ni hawa mateja mtaani kwako wanabwia unga mpaka mlangoni kwako, mchana kweupe bila haya wafanya mabo haya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WABUNGE wameigeuzia kibao Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa ndiyo inaongoza kwa vitendo vya rushwa. Wakizungumza kwa jazba jana jijini Dar es Salaam katika semina ya siku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu,mimi niko kwenye kata ya Lwezera wilayani geita,hali huku siyo nzuri saana,ingawa zoezi la upigaji wa kura limeenda vyema isipokuwa tu jana usiku kuna mmoja wa makamanda alijeruhiwa vibaya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
I wazazi wangu especialy mmoja wa wazazi wangu baba na mama.hakuna raha Kama kuwa na maisha ya kawaida .kusoma shule Za serikali kujirusha na Kuwa na rafiki wa mitaani.mimi maisha ya kuwa mtoto wa...
7 Reactions
66 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…