TBS Iko kwa maslahi ya wananch au ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBS Iko kwa maslahi ya wananch au ya nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by heros, Oct 28, 2012.

 1. h

  heros Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimefuatilia taarifa ya habari mpaka taarifa za kitaifa zinaisha, sijaona taarifa ya chaguzi zilizofanyika leo katika kata 29 nchini. Je wameona taarifa ya chaguzi hizi si muhimu kwa wasilikilizaji wao ambao ni wananchi wa tanzania walio na vyama na wasio na vyama?
   
 2. b

  blueray JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanasubiri matokeo yaliyochakachuliwa toka tume ya uchaguzi ya taifa. Star tv wametangaza kata mbili tu ambazo CCM imeshashinda
   
Loading...