Haya makampuni ya simu ni kwa nini hayawasaidii wahanga wa magonjwa sugu?

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
kila mara tunaona watu kwenye vyombo mbalimbali vya habari.wakisumbuliwa na magonjwa ambayo kwa kweli yanakuwa hayana matibabu hapa nchini bali wanaomba msaada kwenda kutibiwa ughaibuni hususan nchini india na kwingineko.

My take,kuna utitiri wa makampuni ya cm nchini ambayo yanatoa fedha kwenye promo kadhaa za muziki na kwingineko kwenye burudani.
Je huwa wanashindwa nini kuwafadhili maskini hao?
 
Back
Top Bottom