Matokeo ya Udiwani kata ya Lwezera Geita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Udiwani kata ya Lwezera Geita

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WABHEJASANA, Oct 28, 2012.

 1. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wakuu,mimi niko kwenye kata ya Lwezera wilayani geita,hali huku siyo nzuri saana,ingawa zoezi la upigaji wa kura limeenda vyema isipokuwa tu jana usiku kuna mmoja wa makamanda alijeruhiwa vibaya sana kwa kukatwa mapanga alikimbizwa hospitalini kweli hali yake ni mbaya sana.

  Hali hiyo ilikuja baada ya kudaiwa kwamba kamanda huyo aliongoza mshambulizi dhidi ya wakina mama wawili ambao walikuwa wamevaa sare za CCM jana jioni ambapo walipata kichapo kutoka kwa baadhi ya vijana wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa cdm,wakina mama hao kwa sasa wamelazwa kwenye kituo cha afya cha Nzera.

  Ilipofika usiku kundi la vijana wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM walimvamia kamanda huyo na kutoa kipigo kikali ikiwa ni pamoja na kumjerugi kwa mapanga.

  Baada ya muda mfupi kuanzia sasa nitaanza kuwajuza matokeo kwa sababu ndio wanamaliziamalizia kuhesabu kura.

  tuko pamoja makamanda,lakini mwenye matokeo mahali pengine tujuzane.
   
 2. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  polisi wako wapi kuwakamata hawa wauaji?
   
 3. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Poleni pia mmelinda kura zenu, we wish u al d best
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tunakutegemea mkuu. Hizo ndizo gharama za ukombozi. Tusikate tamaa.
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  pamoko mkuu,
   
 6. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  vp matokeo sasa!
   
 7. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Updates:Matokeo ya vituo 7 kati ya 20 CCM-392,CHADEMA-306,C.U.F-103 hii ni kwa mujibu wa Katibu wa CHADEMA wilaya ya Geita Rogers Luhega(Kamanda)
   
 8. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Kamanda msilale hadi kieleweke!MAANA HAWA MAGAMBA TUNAWAJUA SANA KWA UCHAKACHUAJI!
   
 9. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,360
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Endelea kutujuza mkuu. Nway ahsante kwa taarifa.
   
 10. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Twasubiri mkuu,ila poleni sana kwa maswaibu yaliyompata kama mwenzetu.Vipi huko hakuna polisi kwaajili ya ulinzi wa watu wake?!
   
Loading...