Chadema hoi uchaguzi madiwani mbozi na momba

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Masanyinta A.176 ccm na chadema 76 na kituo b ni 143 na chadema ni 62 mpapa A.ccm 200 na chadema 53 B ccm 177 na chadema 78. Kasanu B 110ccm na chadema 43 A ccm 98 na chadema 60. Hili ni jimbo la momba ambapo gap hili limetoa ushindi kwa ccm
Kwa upande wa Mbozi hali inaonyesha Ccm imeshinda pia kwa kura 300 ingawa bado wanajumlisha lakini matokeo ya vituoni yanaonyesha vituo vingi Ccm imeshinda
 
Kwa matokeo hayo na kutoka maeneo hayo basi ni sawa na kusema CHADEMA wameshinda. Kwani walipata kura ngapi 3 years ago ( I.e.2010)?
 
Huko lazima tupigwe chini,najua unga wamandazi na skari ulikua kitu kikubwa sana kwa wapiga kura wa huko.unajua sehemu ambako maisha ni magumu sana watu huwa wanamuabudu sana mtu anaewaletea kitu chakula japo kwa siku moja,yaani kwa kifupi ni kua wao taget yao ni samaki badala ya nyavu au mtumbwi.
 
Lakini msisahau huko ndiko nyumbani kwa Naibu mkuu wa kambi ya nanihii bungeni huyu mh Silinde ns yeye ndiye aliyekuwa akiongoza mashambulizi
 
Back
Top Bottom