Kenya has lost the logistics battle to Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya has lost the logistics battle to Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Oct 28, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  wakenya punguzeni mdomo na kiherehere fanyeni kazi.

  source:Tanzania scoops top position as best route for transit goods - Business - www.theeastafrican.co.ke
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  i thought waswahili talk more? no?
   
 3. peri

  peri JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  big up tz,
  nakupenda nchi yangu.
  Tunaweza kufanya zaidi ya hivyo.
   
 4. m

  masagati JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  habari tunazo penda kuzisikia wa tanzania;
  hongereni wahusika kazeni buti
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,400
  Likes Received: 14,698
  Trophy Points: 280
  bado..tusijisifie.wakenya walikuwa na matatizo so wameslow down sio kwamba sisi tumewapita...hakuna kitu cha kujivunia hapa bado
   
 6. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,667
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280

  Yes inawezekana ila mpaka CCM ife kwani inazuia maendeleo mengi sana hapa nchini kwa uhuni na ujambazi wao. Nchi inaonekana masikini kumbe wazee wamekalia vitu huku wakiambiana namna gani ya kutufilisi na kuomba misaada nje ili wajiburudishe wao na watoto wao. Tanzania as nchi haina matatizo, tatizo ni CCM tu!
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 23,756
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  ninachojua watu wa kaskazini wanapitisha vitu vyao Mombasa na wanaridhika na gharama wanazozikuta.Pengine kenya shida ni roadblocks ila kama wametupita kwa 6 ni ishara kuwa sisi tunaanguka tena.Kwani last time nikiwa nairomi niliona kama zipo nyingi sana.Sababu ikiwa ali shabab.
   
Loading...