I wazazi wangu especialy mmoja wa wazazi wangu baba na mama.hakuna raha Kama kuwa na maisha ya kawaida .kusoma shule Za serikali kujirusha na Kuwa na rafiki wa mitaani.mimi maisha ya kuwa mtoto wa kigogo ni mateso.yaani kwanza mzazi anajikuta anamarafiki wa juu kwa juu competition Za ajabu ajabu .oh mtoto wa huyu Ana masters Wewe lini?marafiki unaanza kuwa fake ,chili Za ajabu zinaanza na imagine una mzazi ambaye kutwa anatukanwa Kwenye magazeti na eti fisadi nawakati Mzazi huyo amesoma na alikuwa na kazi nzuri kabla ya kuitwa kurudi serikalini Tanzania .Usingizi unakuwa hulali maana Mimi Huku USA kila asubuhi unawaza Mzazi kaamka salama maana Mara gari limepinduka Mara duh .Hata usome Vipi ukipata kazi unaambiwa mzazi amekutafutia.ohh Wewe rudi bongo mzazi wako atakusaidia.Mimi na dada angu tumejitafutia kila kitu wenyewe unaambiwa.Sijichanganyi na wabongo kwa sababu drama.Be happy hata Kama unakaa mwananyamala tandale.nimateso kuwa NA Mzazi mwenye influence .Guilt of success ni mbaya mno kuliko mtu homeless.be happy of god have made you cause he knows who you are,usitake makubwa