Mwenyekiti wa serikali za mitaa Mwananyamara huoni haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa serikali za mitaa Mwananyamara huoni haya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mandown, Oct 28, 2012.

 1. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Natumai habari zitakufikia mana jamii forums inasomwa kila mahala.

  Tatizo langu ni hawa mateja mtaani kwako wanabwia unga mpaka mlangoni kwako, mchana kweupe bila haya wafanya mabo haya, wajidunga sindano bila kificho, mbaya zaidi wakikoki lile jani, nadhani harufu yake inaingia mpaka ofisini kwako lakini umeziba masikio na macho, wasubiri kugongea watu mihuri tu wakupe buku!
  Watu hawa wanahatarisha usalama wa mtaa, wanaiba hata ndala.

  HEBU FANYA KAZI BASI MUHESHIMIWA
   
 2. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,964
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Location: Japan

  Mkuu karibu nyumbani, amia Mbagala
   
 3. W

  Wajad JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,131
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Hao jamaa ukiwaingilia kichwakichwa watakufanyia kitu mbaya. Ukiwaripoti polisi wakikamatwa leo kesho utawaona mtaani wameshaachiwa
   
 4. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,867
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  wavuta unga na wauza bhang pale Africando wana wazazi Jirani kabla hata Mkiti hajawaona.
   
Loading...