Uraisi wa kifalme! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uraisi wa kifalme!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elba, Oct 28, 2012.

 1. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tumezuiliwa Same zaidi ya saa moja sasa, eti tunasubiri msafara wa raisi upite!! Hivi gari la Raisi lina ukubwa gani lisiweze kupishana na basi barabarani?? Ukiachana na hivyo,msafara wake si una escot, kwanini tusisimamishwe mara baada ya kukutana nao badala ya kusubiri hapa? Mmh! Ngoja niendelee kumsubiri Mfalme wa Tanzania hapa bila kujua ni muda gani atafika na mm sisi tuendelee na safari yetu!
   
 2. l

  lukme Senior Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanahofia mkong'oto wa wananchi kwn wenyenchi wamemchoka Vasco Da Gama
   
 3. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata US nihivyo hivyo Obama akienda sehemu hata helicopter na ndege zingine haziruhusiwi, Juzi kati kunajamaa alijifanya jeuri akashangaaa watu wana scramble jet fighter kwa ajili yake.
  Sasa nyinyi kina washinda nini. Huyo ni Raisi na sio Giovanni Elba au Stefan Effenberg
   
 4. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Imperial Presidency!
   
 5. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona wakati anaenda Bagammoyo sijawahi ona magari yakizuiliwa kupita, bali huwa yanawekwa pembeni mara tu msafara unapokaribia? Kinachopingwa hapa ni kutusimamisha kwa muda wa Saa 1 dk 35 kusubiri msafara wa raisi upite!
   
Loading...