Wachomaji makanisa na wakojoleaji misahafu waonekana wakigawa sadaka siku ya Idi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachomaji makanisa na wakojoleaji misahafu waonekana wakigawa sadaka siku ya Idi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ami, Oct 28, 2012.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sikuamini macho yangu jana pale kijijini kwetu.Jamaa aliyekuwa akitetea CUF mwaka 2005 kama muislamu alifika msikitini na kutaka tumpe matatizo yetu yote.Wazee wakachangamkia tenda haraka.Jamaa akamwaga mpunga kama hana akili vizuri kwa kila tatizo la msikiti.Wale waliopeleka matatizo binafsi nao hawakukosa chochote.
  Jioni akaonekana msikiti mwengine na usiku mwengine.Hodari wa kutoa sadaka lakini kuswali hajui.Baadhi yetu tukaulizana vipi huyu.Mmoja akakumbusha kuwa huyu jamaa katika kampeni za uchaguzi mkuu 2005 alikuwa na kikundi chake cha mihadhara wakijifanya kuitetea CUF kwa kutoa vitisho kwa CCM na serikali.
  Sura imebadilika kidogo lakini nikamkumbuka na kampeni zake.Alikuwa akitukana vibaya serikali,chama na polisi kwa vitisho vya kuchinja mpaka wengine tukaogopa lakini hakuwa akikamatwa.
  Mwenzetu aliyemtambua akasema huyu atakuwa ni katika kikosi cha kuchoma makanisa na kukojolea misahafu.Hata sheikh Mkuu ajiangalie sana usalama wake kwani hawa jamaa wana uwezo wa kupenya popote na kuleta balaa.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wapi huko?
   
 3. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,762
  Likes Received: 8,030
  Trophy Points: 280
  Acheni Mungu aitwe Mungu. Unafiki umegota sasa mambo hadharani. Huyo jamaa alikuwa AKIITETEA CUF KAMA MUISLAMU.

  Baadae akaonekana MSIKITI MWINGINE.
  Jamani haya si maneno yangu, ni maneno ya Ami, ambaye juzi alikuwa akimtetea Sheikh Fareed na Ponda na kusema kuwa wanaonewa kwa kuwa wao ni waislamu. Sasa leo anakiri;
  1. CUF ina udini ndani yake
  2. Misikiti ni sehemu ya kufanyia siasa
  3. Kauli za uvunjifu wa amani (kuchinja, kama UAMSHO walivyomchinja Koplo Abdulrahman) ni za kutisha

  Hawa ndio wanung'unikaji na haya ndio mambo yao. Leo hayuko upande wao anamwanika hadharani, wakati anaifanyia CUF kampeni alikuwa kipenzi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Yaani udaku uliosimuliwa na person next to you msikitini umeufanya news?
   
 5. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,867
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Hata ukitoa mali zako na uhai wako kuwapa Wahitaji kama Huna Upendo kwa Ndugu na Jirani wewe ni BURE kabisa
   
Loading...