Collin Powel: nilimpigia kura Obama 2008 na nitampigia tena mwaka huu....!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Collin Powel: nilimpigia kura Obama 2008 na nitampigia tena mwaka huu....!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Oct 29, 2012.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Collin Powel amesema wazi kuwa alimpa kura yake Rais Barack Obama katika uchaguzi uliofanyika 2008. Pia ameeleza wazi msimamo wake kuwa atampa tena kura ndio Obama katika uchaguzi wa mwaka huu.......

  Source: BBC News  My take:
  Kiongozi gani hapa bongo anaweza kueleza kitu cha namna hii??
   
Loading...