Msaada wa mawazo ambayo ni kuntu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo ambayo ni kuntu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by People, Oct 29, 2012.

 1. P

  People JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  San Marino ni nchi ndogo sana iliyopo katika bara la Ulaya,ilipata uhuru wake karne ya kumi na tano na mpaka sasa ina idadi ya watu 30,000...na ni nchi pekee ambayo katiba yake ni ya siku nyingi na bado wanaitumia mpaka leo though ni katiba ambayo ni informal...ni kwa nini population ya hii nchi haiongezeki?
   
Loading...