Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepata habari kutoka kwa watu wa karibu ya kwamba kuna mapigano yanaendelea kati ya Wamasi (wafugaji) na Wanakijiji katika kijiji cha Kisangesangeni, Kata ya Kahe, Wilayani Moshi Vijijini -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I've always wondered: how an African with intelligence can believe for one second that Europe with its 3.9 million km2, with the winter without sufficient water, unable to feed its people, can...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
GE Africa Internship Program Job Apply now » Date: Nov 7, 2012...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
matukio ya selikali kuzima maandamano au madai ya makundi mbalimbali katika jamii kwa kutumia propaganda za uongo na kwa baadhi ya maeneo kutengeneza matukio kwa lengo la kukimbia kujibu hoja za...
0 Reactions
5 Replies
979 Views
hatimaye sam maele amempambania dada yetu mpendwa beatrice amepelekwa india kwa matibabu ya mguu hakika sam ana hitaji pongezi na moyo wake uendelee kuwa hivyo hivyo na wana habari wengine waige...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening amesema serikali ya London imesitisha misaada ya takribani dola milioni 18 kwa serikali ya Uganda kutokana na kuwepo tuhuma za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu mahakama ya rufaa itangaze rasmi kuhalalisha maamuzi ya mahakama kuu ya kutengua matokeo ya ubunge wa Sumbawanga mjini wa Hillary Aeshi(CCM). Lakini mpaka...
0 Reactions
4 Replies
931 Views
Mimi ni msikilizaji na mpenzi mkubwa wa kipindi cha tuzungumze magazeti cha RFA saa 12.30 asubuhi. Kwa sasa kipindi hiki mara nyingi kinafanywa na mtangazaji anaitwa Denis Mwasalanga. Napenda...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mmiliki wa kiwanda cha karatasi Lake Priting maarufu kwa jina la mama Chande kauwawa na watu wanaosemekana majambazi jana jioni muda wa saa kumi nyumbani kwake maeneo ya Kauma. Majambazi walimuua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
When going through the post by Emmah Wanzalah [ Africa and Friends of Africa] on facebook i came across this and i was speechless!!! Hivi ni kweli huyu jamaa alikuwa mtupu hivi??? Thefunniest...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
The iPad ni komputa ndogo ya mkoni hii inatengezwa na kampuni ya Apple Ipad yakanzwa ilinza kuuzwa tarehe 3 April mwaka 2010 NA iPada ya kisasa zaidi imetolewa tarehe 2 novemba mwaka huu wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini Jamani wa JF! Naomba mnisaidie kwani na shindwa kutofautisha mafundisho ya Bible kuhusu kuua na Utakatifu wa taifa la Israel. Bible inasema usiuue na Israel ni taifa teule mbele ya Mungu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Televisheni ya Taifa (TBC) imetoweka hewani kwenye dish kwa zaidi ya wiki mbili sasa bila taarifa. Mbona hamtupi sababu au ndo mnatulazimisha tununue ving'amuzi vya mbia wenu Star Times...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani nina habari mpya ambazo watu wote hawazijui. Nimeandika vitabu na magazeti ya kiswahili na kizungu kusambaza habari hizi na kuziweka kwenye website www.quasserer.com lakini watu hawajiungi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumamosi, Novemba 17, 2012 Na John Maduhu, Mwanza HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza, imetoa pole kwa wakazi wa jiji hilo kutokana na vurugu zilizotokea juzi kati ya mgambo wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwandishi wa habari ITV na radio+one DAMIAN KANUTI amefariki dunia katika hosptali ya taifa muhimbili leo. Kituo cha utangazaji nchini Tanzania ITV na Radio One kimeendelea kushudia vifo vya...
0 Reactions
67 Replies
11K Views
Pamoja na Joseph Selasini Mbunge wa CHADEMA-Rombo kuchaguliwa kwa kishindo na waumini wa Kanisa Katoliki Dar kuwa Kiongozi wa Baraza la Walei Jimbo kuu la Dar uongozi wa Jimbo hilo umemuondoa...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imetoa nafasi chache kwa wamiliki wa kampuni za mabasi yaendayo mikoani wanaotaka kubadilisha leseni za safari zao kutoka Dar es...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya JK kumteua Abrahaman Kinana kuwa katibu mkuu wa tatu kwa kipindi cha miaka sita toka Kikwete awe mwenyekiti wa CCM, na baadhi ya watu kuona kuwa hata yeye Kinana hana kitu kipya cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
By Staff writer 17th November 2012 Customs officers stand behind more than 500 pieces of ivory tusks on display after being seized by the Customs and Excise Department in Hong Kong November...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…